Leo baada ya kufuturu Inshaallah nitaichoma moto rasmi kadi ya CHADEMA

Habari za wakati huu wana bodi wenzangu,
Ama kwa hakika kipindi hiki cha mwezi mtukufu wa Ramadhani ni kipindi muhimu cha kujitakasa na kukaa mbali na dhambi na kutomkaribia shetani.
Kwa mantiki hiyo nimefikiria kwa kina kwamba kuendelea kuwa mwanachama wa chadema chama kinachoongozwa na watu wasio na maadili mema kwa jamii ni kumkufuru Mwenyezi Mungu.

Pili, binafsi nimechoswa na siasa zisizo na mwelekeo kwa sababu chama mpaka sasa hakijielewi dira yake kamili ni ipi tunasikia tu mara Ukawa mara matamko ya wajumbe mara operesheni pamoja daima mara Zitto yaani ni mambo ya hovyo hovyo.

Sasa naapa kwa jina la Mwenyezi Mungu muumba wa mbingu na ardhi na viumbe vyote hapa duniani inshaallah ikifika saa12 muda wa adhana nachoma kadi ya chadema. Sina haja ya kuirudisha kwa sababu itakuwa ni sawa na kuwa Katibu Mwenezi wa shetani.

Ramadhan Kareem[/QUOTE
Samahani ndugu, usiichannganye dini yetu na upuuzi wako wa siasa za kipumbavu. Mpuuzi kama wewe unaweza kutamka mambo ya futari sijui nini kumbe uko guest saa hz, halafu ujue kwa waisilamu huu ni mwezi wa toba na chuki tunaweka pembeni wewe kafiri unajificha kwenye uisilamu na siasa zako za majitaka.

kweli kabisa huyu jamaa anataka kutuletea dharau hajui kuwa huu ni mwezi mtukufu.
 
Leteni wana maombi huyo shetani ndani ya chama aondolewe

Shetani kwenye hicho chama hawezi kutoka kama mioyo ya viongozi wenu isipokubali yafuatayo:
1. Kuacha kuhujumu ruzuku ya chama kwa maslahi binafsi
2. Kuacha ukabila, udini na ukanda
3. Kuacha zinaa
4.Kuacha kuharibu vijana kwa gongo, viroba na maandamano.
5.kuacha kuchakachua katiba.
 
Peleka taarifa ufipa kwamba nimeshachoma tayari
teh,teh,hawa ndo waislam wa JF
Ndugu viongozi wangu salam,
Itakumbukwa mnamo mwezi february tar 10 mpaka 13 kamati ya maadili iliwaita vigogo wote wa CCM waliotuhumiwa kuanza kampeni ya kuwania kuteuliwa na chama kuwa wagombea urais ili kuhoji uhalali wao wa kuanza kampeni kabla ya muda. Miongoni mwa viongozi hao walikuwemo mawaziri wakuu wa zamani Edward Lowassa, Fredrick Sumaye, mbunge wa bumbuli na naibu Waziri wizara ya technojia na mawasiliano mh.January makamba, mh Bernard membe, na mh. Stephen wasira.

Ikumbukwe pia maamuzi ya kamati ya maadili iliwasimamisha viongozi hao kufanya kampeni mapema.
Asante,
Wenu mtiifu katika Chama,
JUA LA UTOSI.
 
Usichanganye dini na siasa mkuu, unaweza kuamsha hisia sisizo za lazima, wewe uislamu wetu unakuhusu nini? au ukristo wao unatuhusu nini sisi? Au umeskia siasa ni msikiti au kanisa??

Koma dini zetu hazina hatia, usisiziadhibu kwa agenda zakisiasa.
 
Mods sijui wamefuta comment yangu!!Kiufupi JUA LA UTOSI hauna tofauti na wale m.a.k.a.ha.ba wa korner bar,,duhhh ndani ya wiki mbili unakuwa kada wa vyama 2 tofauti vya siasa!!
 
Last edited by a moderator:
Huu hapa chini ni uzi wako wa 22 June 2013, ulikuwa upo CHADEMA au CCM?

Mods muunganishieni pale juu na hiki anachokihubiri leo!!

Kweli ukiishi kwenye nyumba ya vioo usiwarushie wenzio mawe!ha ha ha ha ha ha huyu jamaa ni popo!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Usichanganye dini na siasa mkuu, unaweza kuamsha hisia sisizo za lazima, wewe uislamu wetu unakuhusu nini? au ukristo wao unatuhusu nini sisi? Au umeskia siasa ni msikiti au kanisa??

Koma dini zetu hazina hatia, usisiziadhibu kwa agenda zakisiasa.

Uharo mtupu. Hivi kati ya vifuatavyo niambie ni kipi dini inakipenda:
1. Ulaji wa ruzuku za chama kwa watu binafsi.
2.Uzinzi
3. Unafiki wa kuhubiri demokrasia wakati hamtendi demokrasia
4. Udini, ukabila na ukanda.

Naomba uniambie ni kipi kati ya hicho kinampendeza Mungu na kipo endorsed na dini zote. Jibu kwanza hilo kabla ya kutililisha shudu zako hapa
 
Habari za wakati huu wana bodi wenzangu,
Ama kwa hakika kipindi hiki cha mwezi mtukufu wa Ramadhani ni kipindi muhimu cha kujitakasa na kukaa mbali na dhambi na kutomkaribia shetani.
Kwa mantiki hiyo nimefikiria kwa kina kwamba kuendelea kuwa mwanachama wa chadema chama kinachoongozwa na watu wasio na maadili mema kwa jamii ni kumkufuru Mwenyezi Mungu.

Pili, binafsi nimechoswa na siasa zisizo na mwelekeo kwa sababu chama mpaka sasa hakijielewi dira yake kamili ni ipi tunasikia tu mara Ukawa mara matamko ya wajumbe mara operesheni pamoja daima mara Zitto yaani ni mambo ya hovyo hovyo.

Sasa naapa kwa jina la Mwenyezi Mungu muumba wa mbingu na ardhi na viumbe vyote hapa duniani inshaallah ikifika saa12 muda wa adhana nachoma kadi ya chadema. Sina haja ya kuirudisha kwa sababu itakuwa ni sawa na kuwa Katibu Mwenezi wa shetani.

Ramadhan Kareem

kaka unafunga au unashinda njaaa?

nia ajabu mtu unafunga huku unafiki uachi
 
Back
Top Bottom