Godbless Lema: Huwezi kuwa na hela ya kununua K-VANT halafu ukakosa hela ya kununua kadi ya CHADEMA

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,746
218,337
Akizungumza kwenye Mkutano wa Hadhara Mjini Arusha , Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini Godbless Lema , amewashangaa watu ambao hadi sasa hawana kadi ya CHADEMA huku wakiwa na uwezo wa kununua K-VANT.

Lema amewashangaa watu hao na kudai kwamba hawana KIPAUMBELE chochote na ni hasara kwa Taifa .

Akizungumza kwa kujiamini amedai kwamba CHADEMA haina dini wala kabila , huku akiwakumbusha watu wa dini badala ya kumkemea Shetani na kumsingizia kuleta umasikini wanatakiwa kuikemea CCM, maana hiyo kabla ya shetani hajaanza mambo yake yenyewe ilishaanza, amewaomba Waislam badala ya kumtupia mawe Shetani ni vema wakaanza kuimaliza ccm kwanza , huku akiwaasa walokole wanaokesha na kuomba kwa kumkanyaga Shetani , sasa Wakeshe kwa kuikanyaga CCM ambayo ina roho mbaya kuliko hata Shetani .
 
Chadema nadhani mmemsikia Lema... hakika acheni kupambana na shetani... chukueni kadi ya Chadema ni Tiketi ya kuingia mbinguni Haleluyaaa!!!
 
Umasikini unaletwa na ubahili. Maeneo yenye watu wabahili kama Kigoma, Burundi nk, watu wake ni masikini kwa sababu people dont spend. Ki uchumi, your expenditure is another persons income. So if people of these areas are encouraged to spend more, suddenly every one will start to have an income ultimately every one will become rich!
 
Back
Top Bottom