Lengai Ole Sabaya kachukua tabia ya Baba yake

Sabaya pale Ikizu sekondar alikuwa na kikundi cha wanyanyua vyuma , aisee majamaa walikuwa wa mwisho kuingia dinning na hamruhusiwi Kula mpak hcho kikundi kiingie dining , alishawah mgeuza taya jamaa yangu wakifanya mazoezi ya ku-nfu uwanja wa Mpira shule usku , kundi la Sabaya bila Shaka ndo walikuwa architecture wa shule ya Ikizu kuchomwa Moto mwaka 2006 mi nikiwa form one jamaa akiwa form four .....

Baada ya shule kuchomwa Baba yake akiwa mkuu wa wilaya ya Serengeti alitia timu Kesho yake na defender za kutosha na kutimua wanafunzi wote with in 24 hrs ...
Sabaya alikuwa mbabe zaidi ya maelezo .... Ila ana dada yake mzur kinyama daaah 😋
Mstari wa mwisho ndio wa maana....
hiyo story ya juu tumeshaizoea
 
Thursday, May 10, 2012​

MA - DC 31 NJE, 70 WAPYA, WAMO WANAHABARI, WABUNGE WA ZAMANI​

HATIMAYE Rais Jakaya Kikwete amefanya mabadiliko ya wakuu wa wilaya zote nchini, huku akiwatupa nje 31 na kuteua wapya 70 kati ya 133 walioteuliwa, ikiwa ni wiki moja tu tangu yafanyike mabadiliko makubwa ya Baraza la Mawaziri.

Katika mabadiliko hayo, Rais Kikwete amewahamisha wakuu wa wilaya 48, wakati waliobaki katika vituo vyao vya awali ni 15 tu.

Kabla ya kutangazwa jana, nafasi za wakuu wa wilaya 20 zilikuwa wazi kutoka na sababu mbalimbali, zikiwamo waliokuwa wakuu wake kuteuliwa kushika nafasi nyingine za uongozi ndani na nje ya Serikali.

Miongoni mwa wakuu wa wilaya wapya, wamo waandishi wa habari watano, wabunge wa viti maalumu na waliokuwa wabunge katika kipindi cha 2005 – 2010 ambao walipoteza nafasi zao katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 31, 2010.

Waziri Mkuu Mizengo Pinda, alitangaza mabadiliko hayo jana alipokutana na wahariri na waandishi waandamizi wa vyombo mbalimbali vya habari, katika mkutano uliofanyika ofisini kwake Dar es Salaam.

Pinda alisema awali kulikuwa na wilaya 114 lakini baada ya Rais Kikwete kuanzisha wilaya mpya 19, idadi ya wilaya zote nchini zimefikia 133 na kwamba uteuzi umezingatia idadi hiyo.

“Tunao Ma-DC wapya 70 na ukiangalia katika kundi hili, wamo vijana wenye umri kati ya miaka 30 na 40 hivi na pia mtaona kuwa wamo wabunge wa viti maalumu kama watano hivi, Rais ameamua kuwapa nafasi hizo,”alisema Pinda na kuongeza:

“Pia tumeendelea kutekeleza wazo la kuwa na akina mama wengi kwa hiyo katika orodha nitakayoisoma wapo kama 43, karibu asilimia 30 na kidogo…hivyo kazi hii imechukua muda mrefu kwasababu kulikuwa na masuala haya ya vetting (uhakiki) lakini hatimaye mheshimiwa Rais amekamilisha kazi hiyo”.

Pinda alisema wakuu hao wamepewa siku saba kufika katika vituo vyao vya kazi na kuapishwa na wakuu wa mikoa husika na kwamba baada ya hapo, watashiriki mafunzo ya wiki mbili yatakayofanyika mkoani Dodoma.

Pinda alisema wakuu wa wilaya 51 wa zamani wameachwa kutokana na sababu mbalimbali zikiwamo umri mkubwa, ugonjwa pamoja na sababu za kiutendaji.

Walioachwa
Uchambuzi zaidi umebaini kuwa miongoni mwa walioachwa na wilaya zao kwenye mabano ni pamoja na Evans Balama (Mbeya), Zainab Kukwega (Makete), Samwel Kamote (Bukoba), Salum Nyakonji (Ngara) na Othman Mdoe (Mwanga).

Wengine walioachwa ni Musa Samizi (Moshi), Hawa Mchopa (Ruangwa),Dk Ian Lengibori (Babati), Winfrid Ligubi (Hanang), Frank Uhaula (Kiteto), Geofrey Ngatuni (Musoma Mjini), Esther Wakali (Ileje), Gabriel Kimoro (Mbozi) na Kanali John Mzurikwao (Sumbwanga).

Wengine walioachwa ni Joyce Mgana (Nkansi), Philimon Shelutete (Geita), Zainabu Kondo (Magu), Henry Clemence (Mkuranga), Thomas Ole Sabaya (Songea) TUIOMBEE SONGEA! Songea yachafuka Mauaji ya Polisi, Kauli ya RC, RPC: Hayakuwa Maandamano
, Kanali Edmund Mjengwa (Mbinga), Bahati Matala (Kahama) na Grace Mesaki (Iramba).

Pia wamo Florence Horombe (Nzega), Stanley Kolimba (Uyui), Kapteni Seif Mpembenwe (Handeni) na Rashid Ndaile (Mkinga).

Kwa upande wa nafasi 20 ambazo zilikuwa wazi, uchambuzi wetu umebaini kuwa zilitokana na wakuu wa wilaya tatu kuchaguliwa kuwa wabunge ambao ni Naibu Waziri wa Nchi (Tamisemi – Elimu) Kassim Majaliwa, Naibu Waziri wa Uchukuzi, Dk Charles Tizeba na mtangulizi wake kabla ya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri, Athumani Mfutakamba ambaye pia ni mbunge wa Igalula.

Kwa upande wa wakuu wa wilaya 15 waliopandishwa vyeo kwa kuteuliwa kuwa wakuu wa mikoa ambayo iko kwenye mabano ni John Tupa (Mara), Saidi Mwambungu (Ruvuma), Chiku Gallawa (Tanga), Leonidas Gama (Kilimanjaro), Dk. Rehema Nchimbi (Dodoma), Elaston Mbwillo (Manyara) na Kanali Fabian Massawe (Kagera).

Wengine ni Fatma Mwassa (Tabora),
Ali Rufunga (Shinyanga), Ernest Ndikillo (Mwanza), Magesa Mulongo (Arusha), Dk Rajab Rutengwe (Katavi), Magalula Saidi Magalula (Geita), Paschal Mabiti (Simiyu) na Kapteni Asery Msengi (Njombe).

Nafasi nyingine mbili zilibaki wazi baada ya Nape Nnauye kuteuliwa kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM wakati aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Ilemela, Cleophace Rugarabamu nafasi yake ilibaki wazi baada ya kufariki dunia.

Walioteuliwa
 
Sabaya pale Ikizu sekondar alikuwa na kikundi cha wanyanyua vyuma , aisee majamaa walikuwa wa mwisho kuingia dinning na hamruhusiwi Kula mpak hcho kikundi kiingie dining , alishawah mgeuza taya jamaa yangu wakifanya mazoezi ya ku-nfu uwanja wa Mpira shule usku , kundi la Sabaya bila Shaka ndo walikuwa architecture wa shule ya Ikizu kuchomwa Moto mwaka 2006 mi nikiwa form one jamaa akiwa form four .....

Baada ya shule kuchomwa Baba yake akiwa mkuu wa wilaya ya Serengeti alitia timu Kesho yake na defender za kutosha na kutimua wanafunzi wote with in 24 hrs ...
Sabaya alikuwa mbabe zaidi ya maelezo .... Ila ana dada yake mzur kinyama daaah 😋
Architecture- hiyo ni taaluma.
Mwenye taaluma hiyo ni architect, hilo ndio lilikuwa sahihi kuandikwa hapo.
 
Yule Sabaya aliewahi kua mkuu wa wilaya huko Songea ndie baba yake na huyo bwana mdogo?

Yule mshikaji alifanya ukatiri mkubwa sana huko Serengeti.
Yaani baba wa Lengai Ole Sabaya unamuita mshikaji!!! Una umri gani wewe umuite baba wa Sabaya mshikaji. Au kiswahili ni shida?
 
Ni sahihi kushughulikiwa,kwanza anecheleweshwa sana.
Pia wapo Wateule katika nafasi ya Ukuu wa Mkoa na Wilaya wameonea,kunyanyasa na kutumia madaraka vibaya!
Wote wachujwe,ILI TUENDE SAWA!!!
 
Mtoto wa mshenzi huwa mshenzi jiwe akuangalia background bali juhudi ya binafsi ya kuwatenda mabaya wapinzani
 
Sabaya pale Ikizu sekondar alikuwa na kikundi cha wanyanyua vyuma , aisee majamaa walikuwa wa mwisho kuingia dinning na hamruhusiwi Kula mpak hcho kikundi kiingie dining , alishawah mgeuza taya jamaa yangu wakifanya mazoezi ya ku-nfu uwanja wa Mpira shule usku , kundi la Sabaya bila Shaka ndo walikuwa architecture wa shule ya Ikizu kuchomwa Moto mwaka 2006 mi nikiwa form one jamaa akiwa form four .....

Baada ya shule kuchomwa Baba yake akiwa mkuu wa wilaya ya Serengeti alitia timu Kesho yake na defender za kutosha na kutimua wanafunzi wote with in 24 hrs ...
Sabaya alikuwa mbabe zaidi ya maelezo .... Ila ana dada yake mzur kinyama daaah
Baba yake akiwa mkuu wa Wilaya ya Serengeti alitia timu na diffenter za kutosha Ikizu Secondary na kutimua wanafunzi within 24hrs!! Hivi Ikizu Secondary iko Wilaya gani?
 
"...nawapatiliza wana uovu wa baba zao; hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao" - Torati

Sio kwa Sabaya pekee ni kwa kila afanyae machukizo.... imagine wewe unafanya malipizi ya uovu wa babu yake baba yako, unalipia ya babu yako, ya baba yako halafu bado na wewe unaongeza yako
Uko sawa kabisa mama D lakini huyu ndiye alikua mteule wa mwendazake, pamoja na malalamiko yote kutolewa, mwendazake alifumba masikio na maisha yaliendelea kama kawaida. Dharau alizoonyesha kwa mkuu wake wa mkoa zilitosha kabisa kumuweka pembeni, lakini shujaa wa Afrika hakuyaona hayo na bado watu mmekua wapambe wake wa kutupwa. johnthebaptist Crimea
 
Back
Top Bottom