Lemutuz on Clouds Tv

Huyo mzee mange kampa kiki maana ya fujo zao inta zianze nimeona akiitwa kwenye interview nyingi sana,sababu ya upuuzi wao...ni aibu zee kama hili kupata interview za vyombo vya habari.kwa kiki za kipuuzi....nlitegemea zee kama hili liitwe kwa kufanya ishu za maana lakini vituo vya habari vinamuita kwa ajili ya bifu lao na mange
Achaga kuona wivu juu ya maendeleo ya wenzakooo I hate this spirit!!
 
naangalia mahojiano ya zamaradi na le mutuz clouds tv now.. le mutuz kaulizwa swali kuhusu watotot wake ambao wako kwa ex wife wake.. nanukuu

zamaradi: so unajihisi kama huna watoto au?

mutuz: no, they are my child..

duuh kwel kingereza hakiangalii mwili mkubwa,we mtu bonge la mtu kama le mutuza lakini ngeli inampiga chenga hahahahaha nipeni namba za ras simba
Au ungetak amalizie children ndo uridhike
 
Huyo mzee mange kampa kiki maana ya fujo zao inta zianze nimeona akiitwa kwenye interview nyingi sana,sababu ya upuuzi wao...ni aibu zee kama hili kupata interview za vyombo vya habari.kwa kiki za kipuuzi....nlitegemea zee kama hili liitwe kwa kufanya ishu za maana lakini vituo vya habari vinamuita kwa ajili ya bifu lao na mange
Ila habari kama hizo ndio zinapendwa na hivi vyombo vyetu vya habari na hadhira pia
Angalia vipindi vya intellectuals uone kama ni maarufu kama hivi na hata hao waandaaji hawana uthubutu wa kualika wasomi.! Watawahoji nini?
 
Dah,nadhan tv yako n chogo ila amejibu
They are my kids kwa mujibu ya tv yangu ya flat screen

Acha kupotosha
Le Mutuz anaonekana ndo hajui kizungu kumbe wenyewe ndo "hawajui!" Tena "Mmarekani" Le Mutuz atamke children/child wakati Wamarekani wenzake wanatumia kids/kid! Wezangu mimi waliposikia kids wakadhani child!
 
Lemutuz ndo nani ?
Ni bilionea mwenye degree 3 kutoka majuu!
1472018547397.jpg
 
Huyo mzee mange kampa kiki maana ya fujo zao inta zianze nimeona akiitwa kwenye interview nyingi sana,sababu ya upuuzi wao...ni aibu zee kama hili kupata interview za vyombo vya habari.kwa kiki za kipuuzi....nlitegemea zee kama hili liitwe kwa kufanya ishu za maana lakini vituo vya habari vinamuita kwa ajili ya bifu lao na mange

Alisema X WIFE wake ndo wanamletea bifu sana ww pia ni moja wao?
 
Back
Top Bottom