Lemutuz Mobimba ni Mgonjwa tumuombee!

Status
Not open for further replies.
mimi nampenda le mutuz. Anaishi maisha anayayoyaona kwake ni sahihi. Ingawa kwa wengine wanaona sio sawa. Ooh mzee ooh wewe sasa babu.
Hapa ndipo wengi huumia, Wanajaribu kuishi maisha ya kuwafurahisha wengine. Na matokeo yake ni kukosa furaha na amani kwa kuwaza watasema nini au watanichukuliaje.
 
Yaani jamaa anakula bata mandhari nzuri kuliko hata mandhari anayopata tiba...teh teh!!

Hivi Hlhapo sio aina ile ya vituo vya afya madongo kuinama hapo!!!
 
Wadada wa Nyumba za kupanga.
Unakuta mdada kapanga na anasema yuko singo.
Cha ajabu baada ya siku mbili unamuona huyo singo nje anapiga mswaki na taulo lake!
Wakubwa tunaelewana??
 
Kuna wengine wanakuwa kibamia wakiwa normal, wametulia kwenye confort zone zao.

Iila sasa 'wakiamka' a.k.a 'kuumuka ni balaa...chunguza utabaini Mjomba.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom