nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,613
kama kuna jimbo lolote hakuna maendeleo yaliyofanyika wa kulaumiwa namba moja ni serikali ya ccm inayokusanya kodi zetu...
alitoka na wewe au dada yako?mi nashindwa kumuelewa huyu lembeli,na uzee wote huo bado anachukua vyangudoa wa club chiller?,hivi hanaga mke huyo?
Ipo wapi hiyo club chiller?mi nashindwa kumuelewa huyu lembeli,na uzee wote huo bado anachukua vyangudoa wa club chiller?,hivi hanaga mke huyo?
Hivi nyie hamkuwahi kuwa na post ya kwanza humu ninyi ni kina nani hasa kila mtu ana Uhuru hapa jukwaani hivyo mwacheni
Huu mwaka tunachagua tu ukawa, hata kama hajawahi kuonesha sura jimboni
huyo huyo tu anafaa kuliko kuichagua ccm
Hapa tunajadili mambo ya kitaifa nakushauri haya mambo yenu kuchat pelekeni majukwaa husika.Ulisema unatumia kinywaji gani vile?
Miaka kumi ya Ubunge wa Lembeli hakuna alichokifanya jimboni kwake....Kwasababu Lembeli hakufanya chochote tofauti na kufanya majungu,lembeli amekutana na wakati mgumu sana kwani ukimuuliza alifanya nini jimboni mwake,anasema alitoa vikoba kwa wananchi na kufanya mikutano mingi kwenye kata zake...je hayo ndio mahitaji ya watu wa kahama?Mbunge wa Zamani mweshimiwa MLOLWA yeye alinunua vitanda kumi kwenye wodi ya wazazi" labour"kulingana na mahitaji yetu ya kipindi hicho.....MLOLWA alidraft program ya maji mji wa kahama.....MLOLWA amejenga mashule ya kata akishirikiana na Jumanne Nkadi Kishimba zikiwemo dispensari.....Je tunahoji,kwasababu Lembeli umeshindwa hata kununua vitanda vingine LABOUR kulingana na ongezeko la wazazi kwenye hospitali mpaka kufikia wazazi50 kwa siku,je unafaa kuendelea kuwa mbunge kwa awamu ya tatu?pia kahama tumekuwa na tatizo la umeme kutokana na ongezeko la watu na mahitaji ya umeme....mh.Lembeli hajafanya mpango wowote wa kujenga sub station mpya buzwagi ili kuweza kuunganishiwa umeme wa uhakika na badala yake Lembeli uliongoza malimbano na mgodi,je anafaa kuendelea kuwa mbunge?Lembeli umeshindwa kuomba mgodi ukujengee Hospitali ya kisasa mjini kahama badala yake umekuwa mtu wa kulalamika na kwenda CHILA CLUB...kuvinjari na mabinti wadogo.....je unafaa kuendelea kuwa mbunge?Lami iliyojengwa mjini kahama ni matunda ya Mh.Benson Mpyesa ambae ni mkuu wa wilaya ya kahama,je wewe Lembeli endapo utashindwa ubunge tutakumbuka kwa lipi mjini kahama?
Ipo wapi hiyo club chiller?
Pole sana kwa kutoka povu bure. Unamjua au unamsikia Lembeli!? Kwa taarifa yako hata Magufuri na pushups zake hamfikii hata nusu.
lembeli si ni yule mzee mwenye sura ya kichawi?
Lembeli porojo nyingi,vitendo zero! Lazima tumpige chini term hii
Ulisema unatumia kinywaji gani vile?
Stress peleka kwako, nawe ukitaka chatHapa tunajadili mambo ya kitaifa nakushauri haya mambo yenu kuchat pelekeni majukwaa husika.
lembeli si ni yule mzee mwenye sura ya kichawi?
Yes kama avatar yako
Madini nitayaweza ndugu yangu? Nataka nifungue ka branch ka Building materials baada ya kusikia panakua kwa kasi sana. Ila nimeogopa niliposikia Mgodi wa Buzwagi unafungwa na ndio ulikuwa moja ya chanzo cha mzunguko mkubwa wa fedha Kahama. Yote tunakubaliana ila hilo la mzee wa Push ups hatutakubaliana kamwe MOTOCHINIVipi Chakaza ulienda kwenye madini! haha mm hata akishinda lembeli sijari sana nshu ni Magufuli peke ndie RAIS