Elections 2015 Lembeli tumbo joto Kahama

kama kuna jimbo lolote hakuna maendeleo yaliyofanyika wa kulaumiwa namba moja ni serikali ya ccm inayokusanya kodi zetu...
 
Huu mwaka tunachagua tu ukawa, hata kama hajawahi kuonesha sura jimboni
huyo huyo tu anafaa kuliko kuichagua ccm
 
Acha uongo ss wana kahama ndio wamuzi wa mwisho. Na hii ngoma magamba nyie hamchomoki hapa kahama.....!!! Ww kula za kishimba alafu pita hiviiiiii.....!!!!! Tukutane October..!
 
Miaka kumi ya Ubunge wa Lembeli hakuna alichokifanya jimboni kwake....Kwasababu Lembeli hakufanya chochote tofauti na kufanya majungu,lembeli amekutana na wakati mgumu sana kwani ukimuuliza alifanya nini jimboni mwake,anasema alitoa vikoba kwa wananchi na kufanya mikutano mingi kwenye kata zake...je hayo ndio mahitaji ya watu wa kahama?Mbunge wa Zamani mweshimiwa MLOLWA yeye alinunua vitanda kumi kwenye wodi ya wazazi" labour"kulingana na mahitaji yetu ya kipindi hicho.....MLOLWA alidraft program ya maji mji wa kahama.....MLOLWA amejenga mashule ya kata akishirikiana na Jumanne Nkadi Kishimba zikiwemo dispensari.....Je tunahoji,kwasababu Lembeli umeshindwa hata kununua vitanda vingine LABOUR kulingana na ongezeko la wazazi kwenye hospitali mpaka kufikia wazazi50 kwa siku,je unafaa kuendelea kuwa mbunge kwa awamu ya tatu?pia kahama tumekuwa na tatizo la umeme kutokana na ongezeko la watu na mahitaji ya umeme....mh.Lembeli hajafanya mpango wowote wa kujenga sub station mpya buzwagi ili kuweza kuunganishiwa umeme wa uhakika na badala yake Lembeli uliongoza malimbano na mgodi,je anafaa kuendelea kuwa mbunge?Lembeli umeshindwa kuomba mgodi ukujengee Hospitali ya kisasa mjini kahama badala yake umekuwa mtu wa kulalamika na kwenda CHILA CLUB...kuvinjari na mabinti wadogo.....je unafaa kuendelea kuwa mbunge?Lami iliyojengwa mjini kahama ni matunda ya Mh.Benson Mpyesa ambae ni mkuu wa wilaya ya kahama,je wewe Lembeli endapo utashindwa ubunge tutakumbuka kwa lipi mjini kahama?

Pole sana kwa kutoka povu bure. Unamjua au unamsikia Lembeli!? Kwa taarifa yako hata Magufuri na pushups zake hamfikii hata nusu.
 
Magamba kama wewe ndio wanao weweseka na matumbo moto.
Huyo mgombea wenu wa magamba hata kura 100 hapati, sasa Lembeli ahofie nini?
 
walewale........
Join Date : 30th September 2015

Posts : 1
Rep Power : 0
Likes Received 1

Likes Given 0
 
Laiti kura tungelipiga kwa kuangali ulichofanya hakika ccm msingepata hata mbunge mmoja maana wabunge wenu kazi yao usingizi tu hadi aibu
 
Vipi Chakaza ulienda kwenye madini! haha mm hata akishinda lembeli sijari sana nshu ni Magufuli peke ndie RAIS
Madini nitayaweza ndugu yangu? Nataka nifungue ka branch ka Building materials baada ya kusikia panakua kwa kasi sana. Ila nimeogopa niliposikia Mgodi wa Buzwagi unafungwa na ndio ulikuwa moja ya chanzo cha mzunguko mkubwa wa fedha Kahama. Yote tunakubaliana ila hilo la mzee wa Push ups hatutakubaliana kamwe MOTOCHINI
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom