Elections 2015 Lembeli tumbo joto Kahama

mizarb

mizarb

JF-Expert Member
Feb 15, 2013
1,400
2,000
Kwa hiyo Kahama ya 10 yrs before ndiyo Kahama ya sasa?? Nisaidieni hapa wakuu
 
Manjagata

Manjagata

JF-Expert Member
Mar 7, 2012
4,988
2,000
BASHITE, huyu Mzee anajivinjari na mabinti wadogo? Ina maana hata binti yako kalishamlamba?
 
lemajane

lemajane

Member
Sep 22, 2015
24
0
Mmmk nikweli lembeli hakufanya chochote ila sialikuwa ccm katika akilizako chache unazani MTU akiwa ccm anaweza Fanya nini hasa kama mfukoni mwake hana pesa ukiwa fisadi ndio utafanya kitu jimboni ili urudi tena madarakani bila kelele ccm mlimkataa lembeli na hupewa ushirikiano na serekali unazani angeletaje maendeleo jimboni ikiwa ccm mlimuwekea kizuizi had I almashahuri je unaweza tujibu mlipa mafungu ya shilingingapi kusaidia jimbo ama ulitaka atoe pesa zake binasfi kusaidia jimbo alafu then ale matope na familia yake angalia vya kuongea
 
J

J4EMMA

Member
Jul 14, 2013
38
70
mimi nipo kahama mjini hapa...ukweli ni kuwa lembeli anarudi bungeni kwa kura za wananchi hasa alivyohamia chadema ndio amepata nguvu zaidi pamoja na uwezo wake wa kuzungumuza ukilinganisha na mpizani wake kishimba hana kabisa uwezo wa kujenga hoja zaidi ya kuahindi kujenga na kutekeleza ahadi hizo kwa pesa zake mwenyewe huku akiibua maswali kwa wananchi!!pili elimu yake bwana kishimba ni darasa la saba nalo kikwazo kwake..tatu..makazi yake kishimba hayaeleweki sababu ya biashara zake
 
Ntaluke.N.

Ntaluke.N.

JF-Expert Member
Jun 21, 2015
1,341
1,500
Lembeli hana mpinzani hapa Kahama,ushindi saa misa ya kwanza.
 
Ritz

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
42,258
2,000
Mzee wa nyeti za kuku hali mbaya.

Teh teh teh
 
DuppyConqueror

DuppyConqueror

JF-Expert Member
Mar 30, 2014
9,442
2,000
Mzee kupenda nyeti za chikeni
 
gsu

gsu

JF-Expert Member
Apr 28, 2014
3,463
1,225
Hivi ni jukumu la Mbunge kununua Vitanda na kuchimba visima?
kwanini asichimbe visima na kununua vitanda kwani pesa ya mfuko wa jimbo alikuwa anaifanyia nini huyu mzee fisadi.
 
Hansss

Hansss

JF-Expert Member
Jul 17, 2015
2,373
2,000
Hivi ni kwann alisema nyeti za kuku yule mamvi hadi kope
 
MOTOCHINI

MOTOCHINI

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
25,657
2,000
Mkuu MOTOCHINI habari! Tukiacha mambo ya ushabiki, wiki iliyopita nilikuwa Kahama kwa shughuli zangu na jioni katika mapumziko yangu nikawa nadadisi yanayoendelea. Mtoa mada nadhani kaandika kwa ushabiki tuu. Pengine Lembeni hajafanya ya maana lakini ni kuwa mtandao wake wa ushindi ni mkubwa na aliyekuwa tishio kwake be Kishimba (Imalaseko)amekata tamaa baada ya kujua chama CCM kilimuhitaji kwa ajili ya Pesa sake na sasa gharama zote kabeba yeye hata zile za mgombea urais alipokuja wakamuachia. Anajuta kukubali wakati hapati msaada toka wa watendaji wa chama
Vipi Chakaza ulienda kwenye madini! haha mm hata akishinda lembeli sijari sana nshu ni Magufuli peke ndie RAIS
 
Last edited by a moderator:
Freeland

Freeland

JF-Expert Member
Jan 24, 2012
14,501
2,000
kwanini asichimbe visima na kununua vitanda kwani pesa ya mfuko wa jimbo alikuwa anaifanyia nini huyu mzee fisadi.
Unafahamu kazi ya Mbunge?
 
Freeland

Freeland

JF-Expert Member
Jan 24, 2012
14,501
2,000
Pesa ya mfuko wa jimbo kazi yake nn?
Ni kutoa Mikopo ya VICOBA.....Na Lembeli amefanya hivyo

Kodi tunayolipa kwa nini haijatumika kununua vitanda vya hosp ?
 
nao

nao

JF-Expert Member
Jul 30, 2015
1,391
2,000
Ndiyo post yako ya kwanza kwa hiyo nakusamehe kwa utumbo wako huu
Hivi nyie hamkuwahi kuwa na post ya kwanza humu ninyi ni kina nani hasa kila mtu ana Uhuru hapa jukwaani hivyo mwacheni
 
KakaJambazi

KakaJambazi

JF-Expert Member
Jun 5, 2009
17,519
2,000
Miaka kumi ya Ubunge wa Lembeli hakuna alichokifanya jimboni kwake....Kwasababu Lembeli hakufanya chochote tofauti na kufanya majungu,lembeli amekutana na wakati mgumu sana kwani ukimuuliza alifanya nini jimboni mwake,anasema alitoa vikoba kwa wananchi na kufanya mikutano mingi kwenye kata zake...je hayo ndio mahitaji ya watu wa kahama?Mbunge wa Zamani mweshimiwa MLOLWA yeye alinunua vitanda kumi kwenye wodi ya wazazi" labour"kulingana na mahitaji yetu ya kipindi hicho.....MLOLWA alidraft program ya maji mji wa kahama.....MLOLWA amejenga mashule ya kata akishirikiana na Jumanne Nkadi Kishimba zikiwemo dispensari.....Je tunahoji,kwasababu Lembeli umeshindwa hata kununua vitanda vingine LABOUR kulingana na ongezeko la wazazi kwenye hospitali mpaka kufikia wazazi50 kwa siku,je unafaa kuendelea kuwa mbunge kwa awamu ya tatu?pia kahama tumekuwa na tatizo la umeme kutokana na ongezeko la watu na mahitaji ya umeme....mh.Lembeli hajafanya mpango wowote wa kujenga sub station mpya buzwagi ili kuweza kuunganishiwa umeme wa uhakika na badala yake Lembeli uliongoza malimbano na mgodi,je anafaa kuendelea kuwa mbunge?Lembeli umeshindwa kuomba mgodi ukujengee Hospitali ya kisasa mjini kahama badala yake umekuwa mtu wa kulalamika na kwenda CHILA CLUB...kuvinjari na mabinti wadogo.....je unafaa kuendelea kuwa mbunge?Lami iliyojengwa mjini kahama ni matunda ya Mh.Benson Mpyesa ambae ni mkuu wa wilaya ya kahama,je wewe Lembeli endapo utashindwa ubunge tutakumbuka kwa lipi mjini kahama?

Watu ka nyie mnapaswa mpewe elmu bure.

Ndo mana tunasema kipaombele cha kwanza elimu, cha pili elimu na cha tatu elmu.
 
Top Bottom