Lembeli apinga matokeo Mahakamani

Lembeli apinga matokeo Mahakamani

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
141,062
Reaction score
282,560
attachment.php

Aliyekuwa mgombea ubunge wa jimbo la Kahama Mjini (CHADEMA ), James Lembeli amefungua kesi Mahakama kuu ya Tanzania Kanda ya Shinyanga kupinga matokeo yaliyompa ushindi mgombea wa CCM, Jumanne Kishimba.

Lembeli anawakilishwa na Joachim Hamis wa kampuni ya Mpoki & associates Advocates ya Dar es salaam, hii kesi si ya kukosa, itakuwa ni ya kusisimua sana.
 
Attachments

  • lembeli1-720x340.jpg
    lembeli1-720x340.jpg
    32.1 KB · Views: 3,551
Hivi alizidiwa kwa kura ngapi zilizotangazwa na nec!? Ni nini hasa hoja iliyopo ya kupinga huo ushindi, nadhani wa Kishimba!
 
Hivi alizidiwa kwa kura ngapi zilizotangazwa na nec!? Ni nini hasa hoja iliyopo ya kupinga huo ushindi, nadhani wa Kishimba!
yote yatafahamika tu mkuu , endelea kufuatilia , safari hii mtoto hatumwi dukani .
 
Lembeni alibebwa kwenye kiti na manyumbu,haamini kama kashindwa
 
Anayejua tofauti ya kura walizopata watujuze
 
Hivi ikitokea lembeli akashinda kesi na lisu kama naye kapingwa mahakamani akashindwa nani watakuwa wamepata hasara.

Naona mahakama mwaka huu ikibarance kesi kama lefa wa Mpiira wa soka.
 
Hivi ikitokea lembeli akashinda kesi na lisu kama naye kapingwa mahakamani akashindwa nani watakuwa wamepata hasara.

Naona mahakama mwaka huu ikibarance kesi kama lefa wa Mpiira wa soka.

....watu "mnajua" kuandika mpaka raha!
 
Aliyekuwa mgombea ubunge wa jimbo la Kahama Mjini (CHADEMA ), James Lembeli amefungua kesi mahakama kuu ya Tanzania kanda ya Shinyanga kupinga matokeo yaliyompa ushindi mgombea wa CCM, Jumanne Kishimba. Lembeli anawakilishwa na Joachim Hamis wa kampuni ya Mpoki & associates Advocates ya Dar es salaam , hii kesi si ya kukosa , itakuwa ni ya kusisimua sana !

Lembeli alionyeshwa nyeti za kuku
 
Hivi ikitokea lembeli akashinda kesi na lisu kama naye kapingwa mahakamani akashindwa nani watakuwa wamepata hasara.

Naona mahakama mwaka huu ikibarance kesi kama lefa wa Mpiira wa soka.

Je bila magumashi ni nani ataibuka kidedea ?
 
Shukrani kwa viongozi wa jukwaa kwa kunyoosha kiswahili kwenye kichwa cha habari .
 
Back
Top Bottom