BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,334
- 8,813
inawezekana maeneo mengi sana kanda ya ziwa ccm walichakachua kwenye ubunge...
si kweli! sisi wasukuma tunaakili,hatudanganyiki hivi hivi na ndiomaana tumeipigia ccm kwanzia wabunge mpaka Raisi,hapo ndio mjuwe kuwa lake zone ni ccm tupu,wachache tu wasiyokuwa na elimu wakaipigia ukawa.