Lembeli apinga matokeo Mahakamani

Lembeli apinga matokeo Mahakamani

WABUNGE WOTE WA UKAWA AMBAO WANAHISI WALIONEWA KTK UCHAGUZI HUU NA WANAZO AU WALIFANIKIWA KUKUSANYA NAKALA ZA MAWAKALA WAO.ZIKIONYESHA WAMESHINDA -->>WAFUNGUE KESI ZA KUPINGA MATOKEO<<----
ii
 
Wakishinda CCM WAMEIBA KURA,AKISHINDA zitto kaachiwa jimbo na CCM na wakishinda Chaggadema ndo halali.Toka lini mmeanza kuziamini mahakama au tusubiri makelele ya kutotendewa HAKI.Akili za NYUMBU....................................
th
 
attachment.php



aliyekuwa mgombea ubunge wa jimbo la kahama mjini (chadema ), james lembeli amefungua kesi mahakama kuu ya tanzania kanda ya shinyanga kupinga matokeo yaliyompa ushindi mgombea wa ccm, jumanne kishimba.

Lembeli anawakilishwa na joachim hamis wa kampuni ya mpoki & associates advocates ya dar es salaam, hii kesi si ya kukosa, itakuwa ni ya kusisimua sana.

kutoka kwenye siasa hadi kuwa mzee wa kesi
 
Yale malori ya kura feki kuelekea mikoani yaliwabeba sana wabunge WA ccm/
ILI KUSHINDA KESI
********************
KOPI ZA NAKALA ZA WASIMAMIZI
KAMA USHAHIDI!MUHIMU/
Umeandika jambo zito sana , ule ni uchakachuaji wa kishamba sana !
 
Hivi alizidiwa kwa kura ngapi zilizotangazwa na nec!? Ni nini hasa hoja iliyopo ya kupinga huo ushindi, nadhani wa Kishimba!

Huyu jamaa alizidiwa zaidi ya kura elfu ishirini sijui atazipata wapi.
 
James Lembeli Mwana Maria ndio Chaguo letu wana Kahama, huyo Kishimba atajijua na Mkapa na Mapolisi CCM wao kwa kile walichokifanya wakati wa Uchaguzi tunakijua. Kishimba hatakaa aitishe hata Mkutano hapa Kahama yetu na yeye anajua na hata uhuru hana.
Very true , katika uwanja ambao hauna magugu kishimba hamuwezi kabisa lembeli .
 
Lembeli hana lake. Aibu yake huyoooo anajisumbua tu. Hashindi kesi katu.
Unajua kwanini davis mosha amejiuzuru siasa baada ya kujaribu na kuangukia pua moshi mjini ? Huyu aliburuzwa kugombea na alihakikishiwa ushindi lakini baada ya magumashi kushindikana kura zikaokotwa porini , jiongeze kidogo mjomba .
 
Mim nasema amekufa kisiasa huyu...no way

James mbatia alikamata kura feki , watuhumiwa pamoja na mzigo wote vikapelekwa polisi , asubuhi yake hakuna watuhumiwa wala mzigo , unajua kwanini ? Nakuhakikishia kwamba zaidi ya wabunge 80 wa ccm watang'olewa mahakamani , tangu nizaliwe sijawahi kuona uchakachuaji wa kishamba namna hii !
 
Kwani CDM wameshinda kata ngapi katika jimbo lote la Kahama?
 
Huyu jamaa alizidiwa zaidi ya kura elfu ishirini sijui atazipata wapi.
Je zilikuwa halali ? Hivi wewe na akili yako unaamini kabisa wananchi wanaweza kumchagua kishimba na wamuache mheshimiwa lembeli ?
 
attachment.php



Aliyekuwa mgombea ubunge wa jimbo la Kahama Mjini (CHADEMA ), James Lembeli amefungua kesi Mahakama kuu ya Tanzania Kanda ya Shinyanga kupinga matokeo yaliyompa ushindi mgombea wa CCM, Jumanne Kishimba.

Lembeli anawakilishwa na Joachim Hamis wa kampuni ya Mpoki & associates Advocates ya Dar es salaam, hii kesi si ya kukosa, itakuwa ni ya kusisimua sana.
huyo mzee naye vichekesho kwelikweli si angeenda kuomba ajira kwa lowassa ya kuchunga hata mbuzi,
 
Je zilikuwa halali ? Hivi wewe na akili yako unaamini kabisa wananchi wanaweza kumchagua kishimba na wamuache mheshimiwa lembeli ?
Wakishinda Chaggadema HALALI,Wakishinda CCM Wameiba kura na akishinda Zitto ameachiwa jimbo na CCM???????????????????????????????????????????????????????????????????????????????
Common_wildebeest.jpg
 
Teh Teh huyu alidhani ile fimbo yake ya kishirikina itampa ubunge! Kamwe hatoweza kushinda..

mkuu...hawa watu wakuwapuuza tu, tumechoka hata kuwasikiliza kila kukicha malalamiko tu!mkapa hakukosea kuwaita hawa malofa.
 
Back
Top Bottom