Mkiambiwa ukweli unawauma,TISS wafanye majukumu Yao kwa maslahi ya taifa.Lema ni zaid ya tatizo kwa vijana,ushaskia anapata support hata kutoka kwa wabunge wenzake makin wa chadema?Ulishamskia Arfi anacomment chochote cha Lema?au Zitto?take a note.
Wewe huna moral authority kuwaambia CDM na Taifa ni kiongozi gani ni makini. CDM vijana kwa wazee tunawajua viongozi wetu ni wapi makini na hata wasio makini lakini si juu yetu kuwa-classify. Wewe kitanda usicholalia kinakuwasha nini? Waache vijana wa CDM waitwe CDM na wewe nenda kaokoe jahazi lenu linalozama