Lema yuko live Sunrise Radio sasa

Lema yuko live Sunrise Radio sasa

Mkiambiwa ukweli unawauma,TISS wafanye majukumu Yao kwa maslahi ya taifa.Lema ni zaid ya tatizo kwa vijana,ushaskia anapata support hata kutoka kwa wabunge wenzake makin wa chadema?Ulishamskia Arfi anacomment chochote cha Lema?au Zitto?take a note.[/QUOTE]

Kwani Zitto ni CDM? Atathubutu kusema nini cha Lema? Lema hasemi kwa kupuliza bwana, anasema ukweli tu. Is Zitto dedicated to CDM and its mission? Doubtful!!
 
Tafadhali usirudie kuuita huo mmea vibaya. Kwetu bangi tunaipanda mashambani pamoja na mahindi au maharage. Majani yake ni mboga nzuri zaidi ya mchicha na mbegu zake ni tunatumia kama kuiungo cha mboga na nyama. Ndiyo maana Jackson Makweta aliwaambia Bungeni, Polisi wasifikirie kwenda kuwakamata watu wa Jimbo la Njombe (wakati huo kabla ya kugawanywa kuwa Njombe Kaskazini, Kusini na Magharibi)

Ila ukiiprocess (kuisindika) na kisha kuwa zao la kuvutwa, hapo nakuruhusu uieweke kwenye 'kundi la madawa ya kulevya'.

Kumradhi Mkuu!
Ila nadhani anayovuta Lema itakuwa imesindikwa toka Somalia au nchi jirani ya Kenya.
 
Ama kweli Magwanda ni sawa na sanda...hivi huyu Lema anaujasiri gani zaidi ya fujo? hivi waliomchagua walikuwa wanamchagua kwa minajili aje awe mchochezi, atoe rohoza watu wasio nahatia, abwabwaje eti anapigania watu? Hivi hamuoni kuwa huyu wbwana hana agenda za maendeleo zaidi ya ajenda za fujo? Poleni ndugu zangU wa Arusha...wakati mwengine naamini kuwa hata waliomchagua watakuwa na akili sawa na Lema
Kwa kweli sijawahi kukutana na mtu wa ajabu kama wewe kinachoshangaza ni nini, kwa kuwa unaamini waliomchagua Lema wanaakili kama zake,( na sio kama zako na wenzio unaowatetea) manake hao laki nzima walimchagua ili awachochee lakini kama Lema ndiye mtoa roho, nayo ni habari mpya ya kuonesha uelewa wako ni wa ajabu.
Swali. Nani kati yako na Lema anayebwabwaja? Hivi aliyekutuma kuandika bila kuelewa unachoandika ni nani? Mi nadhani mwache kufanya kijiwe kuwa ni cha wabwabwaji
 
Come on, ni nani hapa anayemshangilia Lema, kwa hiyo kwa mtazamo wako Wabunge bora ni wale wasioonekana majimboni mwao au mahodari wa kumwaga matusi kama Nkamia, Mwigulu Nchemba na Lusinde?

Wananchi hawajamchaguwa Mkuu wa Mkoa bali Mbunge na ni wajibu wa Mbunge kufika kwa wapiga kura wake muda wowote panapotkea tatizo au uwepo wake kuhitajika.

Sintoshangaa ukiniambia unaishi jimbo la Kinondoni maana nyinyi Mbunge wenu mnakutana Leaders club weekend na kushindana kunywa pombe. nadhani hao ndio aina ya Wabunge wanaowafaa.
Mimi Mbunge wangu Halima Mdee. Ni makini sana huyu binti. Anajua nini cha kuongea. Wapi aongee. Aongee na nani. Huyu anataka umashuhuri sio umaarufu ambao unawafaa zaidi WASANII.
 
Ama kweli Magwanda ni sawa na sanda...hivi huyu Lema anaujasiri gani zaidi ya fujo? hivi waliomchagua walikuwa wanamchagua kwa minajili aje awe mchochezi, atoe rohoza watu wasio nahatia, abwabwaje eti anapigania watu? Hivi hamuoni kuwa huyu wbwana hana agenda za maendeleo zaidi ya ajenda za fujo? Poleni ndugu zangu wa Arusha...wakati mwengine naamini kuwa hata waliomchagua watakuwa na akili sawa na Lema

Poleni Magamba munatia huruma kwenye mtu mkweli ni fujo haya bwana mutalijua jiji
 
Tune Sunrise Radio mliopo Arusha.

Mh anaongea, anawararua Polisi na RC, anatema hoja za nguvu, na anasimamia haki.

Anazungumzia uchaguzi wa kata ya Sombetini. Anasema kuwa uchaguzi wa Sombetini kwa nini hauitishwi? Anasema kama Uchaguzi wa Kata ya Sombetini haufanyiki, basi Mh Mawazo bado ni Diwani wa CCM kwa uwakilishi wa CHADEMA! Na kuwa hataenda Bungeni kwa ajili ya hilo, akienda Bungeni atakula sahani moja na Pinda (maneno yangu).

Anasisitiza; DHAMBI KUBWA KULIKO ZOTE NI WOGA!

Anawararuaje? Bandiko lako limejaa mawazo yako kuliko maneno ya mbunge ambayo yalitakiwa ili kuakisisi kichwa habari
Nafikir JF itakapokuwa ikipevuka itasaidia katika hili
 



....impact ya matumizi ya dawa za kulevya(bangi)
  • Mahita (CUF imeingiza majambia ya kumaliza watu kipindi cha kampeni)
  • Ditopile Mzuzuri (alimwua driver hiace,
  • Malima kule Moro hotelini (unafahamu alikula nini akazimia wakamwibia?),
  • Abdalah Zombe na vijana wa madini
  • Wasira(Kibanda ni nani katika nchi hii) etc
  • Mzee wa magogoni (Salim A. Salim ni hizbu)
Je matamshi yao na matendo yao siyo zaidi ya dawa za kulevya na bangi?

CC: Chilisosi, ZeMarcopolo, Atongwele, Ritz1, Chama, MWABEJASANA, m23 and the like.
 
Mkiambiwa ukweli unawauma,TISS wafanye majukumu Yao kwa maslahi ya taifa.Lema ni zaid ya tatizo kwa vijana,ushaskia anapata support hata kutoka kwa wabunge wenzake makin wa chadema?Ulishamskia Arfi anacomment chochote cha Lema?au Zitto?take a note.

kwenu magamba Zitto na Arfi ndo wabunge makini ????? @ntongwisangu
 
Pole sana unaota ndoto za mchana....TISS si ndiyo wanasambaza madawa na akina Miraji.... !! Wewe vipi au tukutumie picha za Ray C, ambaye baada ya kutumika sana alisaidiwa na sasa tukamuona ktk picha mjengoni !!

Wa kuokoa taifa ndiyo wale wale mnatafuta simu zao kwa udi na uvumba. Muulize PM, alidanganya bunge au la ??

Maskini Tanzania yangu,impact ya matumizi ya dawa za kulevya(bangi) ya mtu mmoja inaathiri sehemu kubwa ya jamii,TISS mko wapi?Okoeni taifa,watu wengine ni madhara kwa taifa?
 
Maskini Tanzania yangu,impact ya matumizi ya dawa za kulevya(bangi) ya mtu mmoja inaathiri sehemu kubwa ya jamii,TISS mko wapi?Okoeni taifa,watu wengine ni madhara kwa taifa?

Unajivunjia heshima mtandaoni wewe!
 
walahi vile LEMA ni janga, kwa usalama wa mkoa na taifa kwa ujumla, nawalaumu wana arusha kwa kuchagua mvuta bangi kama huyu, haya ndio madhara yake..
 
Maskini Tanzania yangu,impact ya matumizi ya dawa za kulevya(bangi) ya mtu mmoja inaathiri sehemu kubwa ya jamii,TISS mko wapi?Okoeni taifa,watu wengine ni madhara kwa taifa?

Kama alivyo Ritz,rasilimali za nchi zinamuwekea dhamana
 
Back
Top Bottom