Maskini Tanzania yangu,impact ya matumizi ya dawa za kulevya(bangi) ya mtu mmoja inaathiri sehemu kubwa ya jamii,TISS mko wapi?Okoeni taifa,watu wengine ni madhara kwa taifa?
Bora bangi kuliko mwanaume kupaka urembo mdomoni.
Maskini Tanzania yangu,impact ya matumizi ya dawa za kulevya(bangi) ya mtu mmoja inaathiri sehemu kubwa ya jamii,TISS mko wapi?Okoeni taifa,watu wengine ni madhara kwa taifa?
Hii mbona kawaida tu. Unaambiwa huyu Rais mpya wa Kenya, Uhuru Kenyatta, akili haifanyikazi vizuri hadi alikoki kwanza!unamaanisha LEMA anavuta hayo makitu?
Akitoka huko awahi Mjengoni kuthibitisha udini wa JK
Lema anawapa watu elimu ya udhubutu!
Safi kamanda Lema!
- Better to remain silent and be though a fool than to speak out and remove all the doubts
- A wise man fights to win, but he is twice a fool who has no plan for possible defeat
ni kweli mkuu watu kama mwigulu, lusinde na hata rage maana nasikia wanapikia bangi kwenye mboga, halafu usalama wa taifa wanaangalia tu, sijui kwa nini hili taifa!
Wapo, ila kwa vile twiga wanauhusiano na CCM hawawezi sema kituhv hao watu wapo nchi hii, twiga wanaibiwa pesa zinaibwa bado unataka msaada wa hawa watu??
Mkiambiwa ukweli unawauma,TISS wafanye majukumu Yao kwa maslahi ya taifa.Lema ni zaid ya tatizo kwa vijana,ushaskia anapata support hata kutoka kwa wabunge wenzake makin wa chadema?Ulishamskia Arfi anacomment chochote cha Lema?au Zitto?take a note.
ni kweli mkuu watu kama mwigulu, lusinde na hata rage maana nasikia wanapikia bangi kwenye mboga, halafu usalama wa taifa wanaangalia tu, sijui kwa nini hili taifa!
Maskini Tanzania yangu,impact ya matumizi ya dawa za kulevya(bangi) ya mtu mmoja inaathiri sehemu kubwa ya jamii,TISS mko wapi?Okoeni taifa,watu wengine ni madhara kwa taifa?
Maskini Tanzania yangu,impact ya matumizi ya dawa za kulevya(bangi) ya mtu mmoja inaathiri sehemu kubwa ya jamii,TISS mko wapi?Okoeni taifa,watu wengine ni madhara kwa taifa?
siasa za matukio zitamponza lema nazidi kumshauri ni vema afanye siasa za hoja na mipango ya maendeleo zitamsaidia sana.
Mkiambiwa ukweli unawauma,TISS wafanye majukumu Yao kwa maslahi ya taifa.Lema ni zaid ya tatizo kwa vijana,ushaskia anapata support hata kutoka kwa wabunge wenzake makin wa chadema?Ulishamskia Arfi anacomment chochote cha Lema?au Zitto?take a note.
siasa za matukio zitamponza lema nazidi kumshauri ni vema afanye siasa za hoja na mipango ya maendeleo zitamsaidia sana.
unamaanisha LEMA anavuta hayo makitu?