- Thread starter
- #81
Akitoka huko awahi Mjengoni kuthibitisha udini wa JK
Amelizungumzia hilo by connecting the dots.... Kuwa huenda kukamatwa kwake ni namna ya kumfanyia ili ashindwe kuwasilisha ushahidi kwa muda mwafaka.
Naamini kabisa tefq
Akitoka huko awahi Mjengoni kuthibitisha udini wa JK
Maskini Tanzania yangu,impact ya matumizi ya dawa za kulevya(bangi) ya mtu mmoja inaathiri sehemu kubwa ya jamii,TISS mko wapi?Okoeni taifa,watu wengine ni madhara kwa taifa?
unamaanisha LEMA anavuta hayo makitu?
Akitoka huko awahi Mjengoni kuthibitisha udini wa JK
alimwacha mwenzake ananyea na kukojoa kwenye debe. Maskini kijana wa watu aliponzwa na mwizi wa magari?
Maskini Tanzania yangu,impact ya matumizi ya dawa za kulevya(bangi) ya mtu mmoja inaathiri sehemu kubwa ya jamii,TISS mko wapi?Okoeni taifa,watu wengine ni madhara kwa taifa?
Maskini Tanzania yangu,impact ya matumizi ya dawa za kulevya(bangi) ya mtu mmoja inaathiri sehemu kubwa ya jamii,TISS mko wapi?Okoeni taifa,watu wengine ni madhara kwa taifa?
Maskini Tanzania yangu,impact ya matumizi ya dawa za kulevya(bangi) ya mtu mmoja inaathiri sehemu kubwa ya jamii,TISS mko wapi?Okoeni taifa,watu wengine ni madhara kwa taifa?
Ama kweli Magwanda ni sawa na sanda...hivi huyu Lema anaujasiri gani zaidi ya fujo? hivi waliomchagua walikuwa wanamchagua kwa minajili aje awe mchochezi, atoe rohoza watu wasio nahatia, abwabwaje eti anapigania watu? Hivi hamuoni kuwa huyu wbwana hana agenda za maendeleo zaidi ya ajenda za fujo? Poleni ndugu zangu wa Arusha...wakati mwengine naamini kuwa hata waliomchagua watakuwa na akili sawa na Lema

Ndio mkuu,ni jambo lililo wazi,na kwa taharifa alianza wakati anaishi Mwanza kipindi hicho cha nyuma.
Bila shaka unamaanisha yule mkuu wa mkoaMaskini Tanzania yangu,impact ya matumizi ya dawa za kulevya(bangi) ya mtu mmoja ...
Come on, ni nani hapa anayemshangilia Lema, kwa hiyo kwa mtazamo wako Wabunge bora ni wale wasioonekana majimboni mwao au mahodari wa kumwaga matusi kama Nkamia, Mwigulu Nchemba na Lusinde?Mbunge sio cheo cha kiutendaji. Msaidieni Lema mafunzo kidogo ya ku-manage umaarufu. Hii kitu imewatesa watu wengi tu. Ninyi mnaomshangilia mnampeleka kubaya. Ni suala la muda tu.
Maskini Tanzania yangu,impact ya matumizi ya dawa za kulevya(bangi) ya mtu mmoja inaathiri sehemu kubwa ya jamii,TISS mko wapi?Okoeni taifa,watu wengine ni madhara kwa taifa?
Leo ndo nimeamini kwanini BANGI inaitwa Madawa ya Kulevya.