SAMSON RICHARD
Member
- Jan 11, 2013
- 77
- 13
kama tis hawafi wajeMaskini Tanzania yangu,impact ya matumizi ya dawa za kulevya(bangi) ya mtu mmoja inaathiri sehemu kubwa ya jamii,TISS mko wapi?Okoeni taifa,watu wengine ni madhara kwa taifa?
kama tis hawafi wajeMaskini Tanzania yangu,impact ya matumizi ya dawa za kulevya(bangi) ya mtu mmoja inaathiri sehemu kubwa ya jamii,TISS mko wapi?Okoeni taifa,watu wengine ni madhara kwa taifa?
kwani kazi za Mbunge ni zipi? au kile chuo kipo jimbo la Bumbuli?Huu anaofanya Lema ni UBUNGE kweli?
Maskini Tanzania yangu,impact ya matumizi ya dawa za kulevya(bangi) ya mtu mmoja inaathiri sehemu kubwa ya jamii,TISS mko wapi? Okoeni taifa,watu wengine ni madhara kwa taifa?
Ongeza speed ya kutype, target ni post 100 per day, hicho kibaruwa kinaviziwa na wengi pale Lumumba angalia usije kupigwa bao.ubunge wa vurugu na kunyea debe?
Member Array uthubutu wa kuvunja sheria?
Maskini Tanzania yangu,impact ya matumizi ya dawa za kulevya(bangi) ya mtu mmoja inaathiri sehemu kubwa ya jamii,TISS mko wapi?Okoeni taifa,watu wengine ni madhara kwa taifa?
Makini kivipi tena ndugu? umakini wao umeupimaje kwa kulinganisha na wabunge wengine wa CDM?Mkiambiwa ukweli unawauma,TISS wafanye majukumu Yao kwa maslahi ya taifa.Lema ni zaid ya tatizo kwa vijana,ushaskia anapata support hata kutoka kwa wabunge wenzake makin wa chadema?Ulishamskia Arfi anacomment chochote cha Lema?au Zitto?take a note.
Elimu ya Uthubutu au Elimu ya Uchochezi!?Lema anawapa watu elimu ya udhubutu!
Safi kamanda Lema!
Mbunge sio cheo cha kiutendaji. Msaidieni Lema mafunzo kidogo ya ku-manage umaarufu. Hii kitu imewatesa watu wengi tu. Ninyi mnaomshangilia mnampeleka kubaya. Ni suala la muda tu.kwani kazi za Mbunge ni zipi? au kile chuo kipo jimbo la Bumbuli?Hivi una taarifa Kikwete yupo Arusha? changanya na zako.
Maskini Tanzania yangu,impact ya matumizi ya dawa za kulevya(bangi) ya mtu mmoja inaathiri sehemu kubwa ya jamii,TISS mko wapi?Okoeni taifa,watu wengine ni madhara kwa taifa?
Ongeza speed ya kutype, target ni post 100 per day, hicho kibaruwa kinaviziwa na wengi pale Lumumba angalia usije kupigwa bao.
CCM original
Today 13:41
#59![]()
Member Array
Join Date : 28th April 2013
Posts : 74
Rep Power : 315
Likes Received
1
Likes Given
1
Akitoka huko awahi Mjengoni kuthibitisha udini wa JK