Lema ulimtukana Mzee Ndugai, Umeona aliyonena yametimia?

Ni vzr uainishe hayo matusi Lema aliyotukana, pia speaker huyo wa zaman hana uzalendo wowote wa kutetea maslahi ya Taifa. Tuliona awamu iliyopita yeye ndio alikua kinara wa kufuata serikali itakavyo!! At least bunge la hayati Samuel sita, NB; Jiulize kwann aliazimia yeye pamoja na wafuasi wake kutaka kuvunja katiba na kumuongezea Rais muda wa kutawala milele? Hafai hata kulumangia huyo!!!
Naona hapo Ndugai alimwomba Mungu kabisa awaweke, waende wakanajisi uchaguzi, warudi wote kwa kishindo wapitishe agenda yao iliyolaanika.

Mungu akasema no no no no no!!!! Akawapiga matukio ya Belshaza

Wanadamu tujifunze.
 
Wewe nawe usitetee ukatili wa kipumbavu.

Magufuli alikuwa mtu mchapakazi sana hakuna asiyejua. Lakini upuuzi alioufanya ni huo wa kuwadhulumu/kujaribu kuwadhulumu haki ya kuishi watu aliowachukia kwa kuwabatiza jina la usaliti. Alikuwa na uwezo wa kuchapa kazi bila kutumia maguvu na angepata legacy ya viwango kabisa.

Mtu kama Ben Saanane kwa kuhoji PhD tu alikuwa anasaliti vipi? Tundu Lissu alisaliti vipi hadi kushambuliwa Kama mnyama saa 7 mchana? Na wengine wengi.

Ninyi mnaomtetea mwendazake mnapwaya sana hapo mnapobariki umwagaji damu, na ndipo mnapoitwa sukuma gang na kukataliwa. Ni bora mngeegemea kwenye hoja ya uchapakazi pekee, na huko kwingine tukubaliane alifeli sana, na ndo aliuharibu utawala wake kwa mkono wake mwenyewe. Kumpenda mtu kusiwalazimu kutetea hata uchafu wake, hapo ndipo neutrality ina matter zaidi.

Haki ya kuishi Ni haki kuu ya mwanadamu mahala popote chini ya just, na katika nchi ya kidemokrasia haki hiyo haipokwi kwa excuses zozote zile nje ya utaratibu wa kisheria. Acheni kutetea tabia za kishetani. Ni kweli sasa serikali inapwaya sana, lakini mbadala wake si serikali katili inayofanya watu waishi kama wapo gerezani.
Kuna wakati ili nchi isogee lazima watu fulani fulani wapotee au wafe.
 
Spika Ndugai aliyelazimishwa kujiuzulu kwa kukosoa ufisadi wa serikali

Mapema kabisa alipoona Serikali ya Samia imepotea njia alikuja hadharani kuishauri Serkali iache kuingia mikataba ya kuuza nchi ( wakati ule mikataba ilikuwa imefichwa kusubiria muda rasmi)

Wakaanza mkataba wa kwanza wa kuuza Ngorongoro kwa waarabu
Leo hii wakazi wa Ngorongoro waliofukuzwa hawana pa kuishi

Umekuja huu mkataba wa kuuza bandari za Tanzania kwa Waarabu

Yote haya Mh. Ndugai aliyasema kwasababu aliyaona kabla ya kuletwa hadharani

Sasa yule mropokaji wa Arusha aliyekuwa anaendeshwa na chuki badala ya hoja akamjia juu Ndugai kuwa chadema itasimama na anayeuza nchini (bila yeye kujua) kuliko kusimama na Ndugai anayejaribu kufufua uozo wa Serikali

Lema amekaa bungeni miaka mingi tu ina maana hata kujitafutia maarifa nje ya mfumo rasmi wa elimu ameshindwa?

Kwa aina ya wabunge tena wa upinzani wanaotetea serkali kuuzwa je wajukuu na vitukuu vyetu wataikuta ile nchi imara aliyotuachia Nyerere? Au wajukuu wetu watakuwa wakiwa watumwa ndani ya nchi yao?

Nakulilia Tanganyika yangu
acha uzushi na uwongo we kima. Unajua maana ya kuuza? Umeshawahi kwenda Ngorongoro? Labda km ameuziwa mamako
 
Mnafki mkuda we Tanganyika unaifahamu? Mmejaa chuki na ubaguzi, ila hamtafanikiwa na husda zenu hakuna rais km huyu mama, jana serikali ilisaini mikataba kujenga barabara Km 2035 haijawahi kutokea tangia uhuru. Hakuana km Samia
 
Kama akina nani? Ni kafara?

Tuanze kwa kukupoteza wewe na wazazi/wanao basi ili nchi yetu isogee uchumi wa kati.

Ndo sababu mnaitwa sukuma gang. Ni bora nchi ishikiliwe na wauzaji wa bandari kuliko wamwaga damu wa usukumani.
 
Mwendazake alipowaminya mkakimbilia kwenye hoja kwamba anakandamiza Haki za Binadamu.

Nchi inapambaniwa law damu na jasho, Kufa na kupona, kuua na kusimamia ilimradi tu rasilimali za walio wengi zibaki salama.

Sasa kuwatoa hawa Waarabu tegemeeni kupoteza raia mamia na mamia. Mmeyaona ya Loliondo!!

Kwahiyo kuwaminya wasaliti watatu wanne kwa maslahi mapana ya raia milioni 60 ni jambo la kawaida.

Mtanikumbuka kwa mazuri na si kwa mabaya...JPM
Loliondo yenyewe unaisikia tu, Hakuna atakayemkumbuka huyo shetani wenu tunamkumbuka baba wa Taifa na Mkapa, nyie mazuzu wake muendelee kumwabudu. Magufuli hana tofauti na yule Mackenzie wa Kenya
 
Mwendazake alipowaminya mkakimbilia kwenye hoja kwamba anakandamiza Haki za Binadamu.

Nchi inapambaniwa law damu na jasho, Kufa na kupona, kuua na kusimamia ilimradi tu rasilimali za walio wengi zibaki salama.

Sasa kuwatoa hawa Waarabu tegemeeni kupoteza raia mamia na mamia. Mmeyaona ya Loliondo!!

Kwahiyo kuwaminya wasaliti watatu wanne kwa maslahi mapana ya raia milioni 60 ni jambo la kawaida.

Mtanikumbuka kwa mazuri na si kwa mabaya...JPM
Lissu, Ben Saanane na Roma walikuwa mafisadi??
 
Spika Ndugai aliyelazimishwa kujiuzulu kwa kukosoa ufisadi wa serikali

Mapema kabisa alipoona Serikali ya Samia imepotea njia alikuja hadharani kuishauri Serkali iache kuingia mikataba ya kuuza nchi ( wakati ule mikataba ilikuwa imefichwa kusubiria muda rasmi)

Wakaanza mkataba wa kwanza wa kuuza Ngorongoro kwa waarabu
Leo hii wakazi wa Ngorongoro waliofukuzwa hawana pa kuishi

Umekuja huu mkataba wa kuuza bandari za Tanzania kwa Waarabu

Yote haya Mh. Ndugai aliyasema kwasababu aliyaona kabla ya kuletwa hadharani

Sasa yule mropokaji wa Arusha aliyekuwa anaendeshwa na chuki badala ya hoja akamjia juu Ndugai kuwa chadema itasimama na anayeuza nchini (bila yeye kujua) kuliko kusimama na Ndugai anayejaribu kufufua uozo wa Serikali

Lema amekaa bungeni miaka mingi tu ina maana hata kujitafutia maarifa nje ya mfumo rasmi wa elimu ameshindwa?

Kwa aina ya wabunge tena wa upinzani wanaotetea serkali kuuzwa je wajukuu na vitukuu vyetu wataikuta ile nchi imara aliyotuachia Nyerere? Au wajukuu wetu watakuwa wakiwa watumwa ndani ya nchi yao?

Nakulilia Tanganyika yangu
Katiba mpya bora ndio mpango mzima !! Hata mhe Ndugai kwa sasa naamini anajua hivyo !!
 
Mwendazake alipowaminya mkakimbilia kwenye hoja kwamba anakandamiza Haki za Binadamu.

Nchi inapambaniwa law damu na jasho, Kufa na kupona, kuua na kusimamia ilimradi tu rasilimali za walio wengi zibaki salama.

Sasa kuwatoa hawa Waarabu tegemeeni kupoteza raia mamia na mamia. Mmeyaona ya Loliondo!!

Kwahiyo kuwaminya wasaliti watatu wanne kwa maslahi mapana ya raia milioni 60 ni jambo la kawaida.

Mtanikumbuka kwa mazuri na si kwa mabaya...JPM
Jamaa yamewafika wanabaki kubabaika, hawajui lile wala hili🤣
 
Ni vzr uainishe hayo matusi Lema aliyotukana, pia speaker huyo wa zaman hana uzalendo wowote wa kutetea maslahi ya Taifa. Tuliona awamu iliyopita yeye ndio alikua kinara wa kufuata serikali itakavyo!! At least bunge la hayati Samuel sita, NB; Jiulize kwann aliazimia yeye pamoja na wafuasi wake kutaka kuvunja katiba na kumuongezea Rais muda wa kutawala milele? Hafai hata kulumangia huyo!!!👇👇👇
Munafukua makaburi !
 
Spika Ndugai aliyelazimishwa kujiuzulu kwa kukosoa ufisadi wa serikali

Mapema kabisa alipoona Serikali ya Samia imepotea njia alikuja hadharani kuishauri Serkali iache kuingia mikataba ya kuuza nchi ( wakati ule mikataba ilikuwa imefichwa kusubiria muda rasmi)

Wakaanza mkataba wa kwanza wa kuuza Ngorongoro kwa waarabu
Leo hii wakazi wa Ngorongoro waliofukuzwa hawana pa kuishi

Umekuja huu mkataba wa kuuza bandari za Tanzania kwa Waarabu

Yote haya Mh. Ndugai aliyasema kwasababu aliyaona kabla ya kuletwa hadharani

Sasa yule mropokaji wa Arusha aliyekuwa anaendeshwa na chuki badala ya hoja akamjia juu Ndugai kuwa chadema itasimama na anayeuza nchini (bila yeye kujua) kuliko kusimama na Ndugai anayejaribu kufufua uozo wa Serikali

Lema amekaa bungeni miaka mingi tu ina maana hata kujitafutia maarifa nje ya mfumo rasmi wa elimu ameshindwa?

Kwa aina ya wabunge tena wa upinzani wanaotetea serkali kuuzwa je wajukuu na vitukuu vyetu wataikuta ile nchi imara aliyotuachia Nyerere? Au wajukuu wetu watakuwa wakiwa watumwa ndani ya nchi yao?

Nakulilia Tanganyika yangu
We ni mwendawazimu.
Hata nchi zilizoendelea hazimiliki kila kitu wenyewe, bandari nyingi duniani zina wawekezaji.
 
Naona hapo Ndugai alimwomba Mungu kabisa awaweke, waende wakanajisi uchaguzi, warudi wote kwa kishindo wapitishe agenda yao iliyolaanika.

Mungu akasema no no no no no!!!! Akawapiga matukio ya Belshaza

Wanadamu tujifunze.
Acha tu!
 
Wamasai wamefukuzwa kwenye ardhi yao ya asili wamebaki kuhangaika

Hii nchi mwarabu ataiangamiza

Mwarabu hana nia jema na nchi yetu ya tanganyika

Wale wageni kina mbarawa hawaoni shida kuuza nchi yetu
acha uzushi na uwongo we kima. Unajua maana ya kuuza? Umeshawahi kwenda Ngorongoro? Labda km ameuziwa mamako
 
Ni bora tutembee kwenye barabara za vumbi kuliko kuuza nchi yetu kwa haya majangili yanayosifika kwa rushwa duniani kote

Back
Top Bottom