Lema ulimtukana Mzee Ndugai, Umeona aliyonena yametimia?

Tanganyika hatuhitaji kuendeshwa na haya mafisadi (waarabu wanasifika kwa rushwa duniani hawaamini ktk sheria)

Ndio maana walibeba wabunge wakaenda dubai wakawahonga mabilion pmj na magari ili kurahisisha lengo la kuuziwa nchi
We ni mwendawazimu.
Hata nchi zilizoendelea hazimiliki kila kitu wenyewe, bandari nyingi duniani zina wawekezaji.
 
Spika Ndugai aliyelazimishwa kujiuzulu kwa kukosoa ufisadi wa serikali

Mapema kabisa alipoona Serikali ya Samia imepotea njia alikuja hadharani kuishauri Serkali iache kuingia mikataba ya kuuza nchi ( wakati ule mikataba ilikuwa imefichwa kusubiria muda rasmi)

Wakaanza mkataba wa kwanza wa kuuza Ngorongoro kwa waarabu
Leo hii wakazi wa Ngorongoro waliofukuzwa hawana pa kuishi

Umekuja huu mkataba wa kuuza bandari za Tanzania kwa Waarabu

Yote haya Mh. Ndugai aliyasema kwasababu aliyaona kabla ya kuletwa hadharani

Sasa yule mropokaji wa Arusha aliyekuwa anaendeshwa na chuki badala ya hoja akamjia juu Ndugai kuwa chadema itasimama na anayeuza nchini (bila yeye kujua) kuliko kusimama na Ndugai anayejaribu kufufua uozo wa Serikali

Lema amekaa bungeni miaka mingi tu ina maana hata kujitafutia maarifa nje ya mfumo rasmi wa elimu ameshindwa?

Kwa aina ya wabunge tena wa upinzani wanaotetea serkali kuuzwa je wajukuu na vitukuu vyetu wataikuta ile nchi imara aliyotuachia Nyerere? Au wajukuu wetu watakuwa wakiwa watumwa ndani ya nchi yao?

Nakulilia Tanganyika yangu
Yaani Na ww akili zako ni Bora hata Lena . udhaifu wa serikali Na ccm Lao hawana zote kwa Lema nakushauri mlaum unamruhusuje ameuza nchi Na sio Lema
 
Wanasema usilolijua ni usiku wa kiza. Sikubaliani na huu uzwazwa wa kuuza nchi kinyemela.

Pia sikubaliani nawe ktk kumlaumu Lema. Kwanza hajahusika na hizi kadhia za CCM na jambo la pili yeye ni raia kama mimi ambaye inabidi atumie msuli na akili kupata taarifa muhimu nyeti.

Tukubaliane kuwa mazuri 100 ya JPM yalifunikwa ama kuchafuliwa na rekodi moja tu, ambayo ni ukandamizaji wa HAKI za binadamu.
Bora umemweleza chausiku ukweli
 
Back
Top Bottom