My Take
Tutaelewana tuu, tena Bora CCM huko CHADEMA kumejaa watu ambao wanawaona kina Heche na Lisu ni miungu watu ambao Kila wanachoambiwa wao ni ndio Mzee
Ni hivi zile zama za zidumi fikra sahihi za Mwalimu ndio ziko huko CHADEMA Kwa sasa, na Bado watakuwa na kutumikishwa sana huko.
Wazee...
Mtangazaji wa kipindi cha Jana na Leo cha Wasafi FM, Oscar Oscar, aliwahi kusema Machi 14, 2024 kuwa baadhi ya watendaji wa Serikali badala ya kutekeleza majukumu yao ipasavyo, wamekuwa wakitumia muda mwingi kulitaja jina la Rais Samia Suluhu Hassan kuliko kufanya kazi zinazowahusu.
"Badala ya...
Kwa mara ya kwanza tuna waziri mkuu Chawa na serikali fake! Mwigulu ndiye waziri mkuu ambaye kazi yake kubwa sio uendeshaji bali ni uchawa uongo uongo na kujipendekeza.
Majaliwa alijitahidi sana kuwa kiongozi ambaye anajiepusha na utekaji, uongo, lakini alishidwa naye lakini hakuwa chawa!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.