Bavicha wengi wana amnesia si rahisi kutunza kumbu kumbu...Hivi bavicha ile single yenu ya lowassa kumfadhili Zitto imeishia wapi? ama kweli kwenye udhia penyeza rupia tu, chama kiko kichwa juu miguu chini kisa pesa, wamesahau hata wanachopigania sasa
Siwapendi watu kama ww mnaoleta ukabira, udini, ukanda kwahiyo tanzania kunakanda moja tu pole kwamawazo finyu.zile huwa ni siasa,usitilie maanani sana.
hata hivyo lowasa hapiti.
kanda ya ziwa wameshasema bahati haiji mara mbili.
stay tuned
Sina hamu na chadema tena! Lowasa awe mgombea wa chadema!? hii ni laana kwa waliopigania chadema maisha yao yote!
Hakuna jipya hapo. Wajanja tulishajua kitambo. Anapita mule mule
Teh Teh hapa ndio watu wajue rangi ya chadema..Lowasa anautaka urais kwa hali na mali, CCM wamemkataa sababu ni fisadi leo chadema wanataka kumpokea.
Napata shaka katika uadilifu na hiki chama
zile huwa ni siasa,usitilie maanani sana.
hata hivyo lowasa hapiti.
kanda ya ziwa wameshasema bahati haiji mara mbili.
stay tuned
Ikulu mtaisikia kwenye gazeti la Tanzania Daima tu na hapa JF!
Teh Teh yanii mapema...kandaa ya ziwa vs kaskazini....
haaapa kitaeleweka saa moja aasubuhi tu
Acha kubweka kama bweha abwekeaye ndege warukao....
JK mwenyekiti wako sio fisadi??
JK ndiye alicheza dili ya Richmond kizembe ikabumbuluka Lowassa alijiuzulu ili kuokoa Serikali na CCM...
Sasa mbona Richmond bado ipo nchini ambayo ndiyo SYMBION ya ubungo?? unabweka nini wakati bado unaliwa?? si mnaumizwa na ufisadi mwambieni JK aifunge SYMBION maana inakula pesa zile zile kama za RICHMOND!!!!
SIMBA TRUST iliyokwapua mabilioni ya ESCROW inamilikiwa na JK & SALMA mbona hamjawahi kuhoji??
Wewe mpumbavu kama si mchawi utakuwa mwanamke mwenye wivu wa viwango vya juu....
Waondoke tu hao mafisadi. Hawana chao CCM
Tunataka jk akane,alivyo kuwa anampigia kampeni mwaka 2010 kuwa hajawai kumuona kiongozi bora na mchapa kazi kama lowasa,video tunazo
Hakuna jipya hapo. Wajanja tulishajua kitambo. Anapita mule mule
Wewe ndiye Fisadi mkubwa pamoja na baba yako Membe mnatumia pesa nyingi kumchafua Lowasa , hiyo pesa ya Gadafi mliipata bila jasho ndiyo maana mnaitumia kufanya Fitna za ajabu ajabu, hamchoki? Mninunua kamati ya maadili sasa bado mnahaha kuwanununua Ukawa wewe ndiye Fisadi hatari kuliko Wote usidhani watu hawakujui, wewe sasa unegeuza Fitna kuwa mladi mkubwa kwako unapokea pesa nyingi Kwa kazi hii huku ukiwa haulipi kodi.
Kuna mpango wa Dr.W.Slaa kumuondoa kwenye orodha ya aibu...pale mwembe Yanga..
Kama chadema wamefika hatua ya kumwalika lowasa kwenye chama chao, basi ni hatari. Kwa lugha nyingine wanamualika chenge, rostam na wengine wa aina hiyo! Watakuwa ni wapumbavu, binafsi nakatishwa tamaa na siasa za bongo hasa ninaposikia kuwa sasa lowasa ni mbeba bendera wa chadema. Sasa baada ya uchaguzi watatuambia kuwa wanapinga ufisadi?