Lema Tunashukuru,hebu pumzika hata siku mbili

Lema Tunashukuru,hebu pumzika hata siku mbili

Elias Arusha

Member
Joined
Apr 30, 2013
Posts
94
Reaction score
31
Mbunge wa Arusha Mjini kamanda Godbless Lema ameendelea na ziara yake ya kutembelea wananchi na kukiimarisha chama ambapo leo alasiri aikuwa ktk kata ya Baraa.

Kamanda Lema amekuwa mwenye kuvutia watu,kafungua matawi matatu hapa akisaidiana na katibu wa kanda maalum kinondoni Kamanda Kilewo.Hata hivyo kutokana na majukumu ya wananchi na chama nimehisi kamanda kachoka sana japo alininong'oneza kuwa 'NINA HARI YA KUFA MTU LEO KUENDELEA KUTEMBELEA WANANCHI' baada ya mimi kumtaka hata akalale japo masaa matatu.

HONGERA KAMANDA LEMA.
 
.Huyo Jamaa Ni noma. CCM wanamuogopa ile mbaya. Jembe la ukweli lisilotishwa na wazee wa pembe za ndovu
 
Mbunge wa arusha mjini kamanda Godbless Lema ameendelea na ziara yake ya kutembelea wananchi na kukiimarisha chama ambapo leo alasiri aikuwa ktk kata ya Baraa.Kamanda Lema amekuwa mwenye kuvutia watu,kafungua matawi matatu hapa akisaidiana na katibu wa kanda maalum kinondoni Kamanda Kilewo.Hata hivyo kutokana na majukumu ya wananchi na chama nimehisi kamanda kachoka sana japo alininong'oneza kuwa 'NINA HARI YA KUFA MTU LEO KUENDELEA KUTEMBELEA WANANCHI' baada ya mimi kumtaka hata akalale japo masaa matatu.HONGERA KAMANDA LEMA.



Hiii ni finiko
 
Uvccm Arusha hutapata posho toka Lumumba kama utaendelea na post za dizaini hii tehe tehe
 
Last edited by a moderator:
Jamaa Mwepesi sana kichwani VOICE OF AMERICA inamhoji muda huu mpaka wamemkatisha anaulizwa nini kifanyike yeye kakomaa kueleza eti akikutana na Polis usiku anaogopa kuliko akikutana na Majambazi, kasahau kuwa majambaza hayaogopani yakikutana usiku
 
Songoro unasikia peke yako nini mbona ata alex mgongolwa amekatishwa Voa wanaangalia muda n wote wanaongea wanakatishwa wao wanachukua maonh yao kw kifupi na si kwa lema ni wote wamekatishwa pind wanapoulzwa n kujibu wanavotaka usidanganye wadau
 
Kamanda kileo yupi huyo ? Au ndio yule binamu yake lema ambaye kaka yake aliuliwa na polisi miaka yatisini kwa kuhusika na ujambazi arusha ? Lile group lilikuwa tishio sana miaka ile . Hata lema alikuwepo kwenye hizo kazi ila nasikia siku ya tukio machale yalimcheza hakutokea wenzake wakakamatwa. Hii ni kwa wale wanaoikumbuka international bereau de change .
 
But we shouldn't lose sight of the fact he was once a notorious criminal, leading and financing a group of car thieves responsible for several theft incidents in the same town he's now the MP for.
 
akomae kama kweli anatetea wananchi lakini kama ni njaa tuu alaaniwe

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Viva Lema mtetezi wa wanyonge na kiboko ya majangiri na magaidi akina Magessa
 
siku zote kuna tofauti kati watetezi wa wananchi na wasiowatetezi kila kheri kamanda.
 
Wananchi nisikilizeni. Mateso, kudhalilishwa, kebehi, matusi, vipigo hata kufungwa na kuuwawa ni matukio ambayo hatuwezi kukwepa tena, wamepanga na wanafurahi kufanya hivi na sisi ni lazima tuamue kwamba tuko tiyari sio tu kuteswa bali familia zetu kupokea miili yetu kama maiti na tukifika katika fikra hii hapa ndipo thamani zetu za kuishi zitakapokuwa kuwa na sifa kubwa kwa kizazi kinacho kuja, wanasema tuna fujo,

Mimi nasema hakuna watu wa pole kama nyie kwani mambo yanayofanywa na serikali ni sababu tosha ya nchi hii kuwa na waasi lakini bado tunavumilia na kusubiri demokrasia ambayo wanaichezea wanavyotaka na kuamua wanavyotaka, lakini endeleeni kuvumilia bila woga kwani vita yetu na majangili na wezi wa ccm tutashinda, na majina yoye machafu tunayoitwa na kupewa juweni kwamba ilianza zamani kwa wakina Mandela, Nyerere, Martin Jr, na wengine wengi ila hawakukata tamaa, na vijana wanaolipwa kwa ajili ya kuwabeza thamani yao ni kama mashoga mbele ya jamii. Tutashinda vita hii tusikate tamaa. Lema alisema maneno haya jana wakati anafungua ofisi ya Kata na Matawi.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
CCM wameshaishiwa mbinu. They are now desperate. Wamewaita CDM majina yote mabaya hadi yameisha lakini hakuna mafanikio. No way, they have to go...
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Matawi hayo alikuwa anafungua wapi Mkuu?
Lema ni moja kati ya vijana wanaosimamia kweli, nyeusi yeye kwake ni nyeusi na nyeupe hali kadhalika ni nyeupe. Lema ni chukizo kwa watawala fedhuli na ndo maana hawawezi kumkubali hata siku moja!!! walijaribu sana kumnunua asigombee ubunge 2010 pale A-town lakini alimtolea nje JK, ndo maana visa juu yake haviishi. Watawala hawa wana visa kama Mke mwenza!!!
 
Mimi sio muumini wa Chama chochote cha Siasa, lakini mbinu za CCM kuwakandamiza Wapinzani ni chafu kuliko uchafu wenyewe na ni dalili za kushindwa kuendesha nchi.
Kitu pekee ambacho CCM walipaswa na wanapaswa kufanya, ni kuelekeza nguvu zao kwa vitendo kwenye kufufua uchumi wa nchi.
 
Ni kweli Mandela na Solomon Mahlangu na Biko walishitakiwa kwa uchochezi na ugaidi

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom