barnabas masoko
JF-Expert Member
- Aug 8, 2016
- 1,298
- 656
Njaa mbaya huleta mpaka upofu
Na huu ndio ukweli.Wote watageuka na kuanza kusifu.Mnyeti alishakubali haina haja tena. Game imekwisha
Magu akiwatumbua akina mnyeti hawa nyumbu watakuja na mapambio kumpongeza
Acha kupiga kelele.WATUMISHI TUNATAKA NYONGEZA YA MISHAHARA MENGINE NI NGONJERA TU...HAIWEZEKANI MWAKA WA TATU SASA HAKUNA NYONGEZA HALAFU MNYETI NA GENGE LAKE WANAGAWA RUSHWA KWA FEDHA ZA UMA....ACHENI USENGE AISEE
Mkuu kisu kimeshakita mfupa, ndio vilio vitasikika toka kila sehemu.Mpaka sasa DC Mnyeti na madiwani wawili wamekanusha tuhuma mlizozielekeza kwao huku madiwani wawili wakiwatuhumu nyinyi kwa kutengeneza hizo video huku diwani mmoja akiziita hizo clip kuwa ni za kitoto.
Hivyo ili kukata mzizi wa fitina, nawashauri ikiwezekana hata kesho mtoe video ambazo awali hamkuzitoa pamoja na hiyo print out ya mazungumzo maana kejeli zimenza na zikisemwa sana bila nyinyi kuonyesha ushahidi wa ziada zitageuka kweli kwa baadhi ya watu hasa wale ambao sio wafuatiliaji wa mambo hivyo ni rahisi kudanganywa na hizi propaganda za baadhi ya wana-CCM.
Hatari ninayoina ni wanapropaganda hawa kuwageuzia nyinyi kibao kwa kujifanya wana mapenzi na CHADEMA na kuanza kuwazushia maneno kuwa mnakiweka chama pabaya licha ya wao mpaka sasa kushindwa kujibu tuhuma hizi pasipo kuacha shaka yoyote.
Kwa sasa hamna haja tena ya kumsitiri yoyote yule hata awe nani maana hii sasa ni sawa vita ambayo siku zote haina macho
Umeonaaaa maccm haoHii post na wachangiaji ni Kama kuna mpangilio wa majibizano!
Wamesema hii ni kama tamthilia ya isidingo, inatolewa kidogo kidogo.Naona wanatoa ushahidi kidogo kidogo kimkakati,hii naifananisha na kumkimbiza mwizi kimya kimya bila kupiga yowe,na mwizi mwenyewe akigeuka nyuma anaona uko hatua moja kutoka alipo,
Vijana wanahakikisha pressure ya kuwawajibisha hawa watoa rushwa haishuki,hapa ni anguko la serikali hii iliyojaa watoa rushwa
Nadhani tukio hili ni mfanano wa tukio la lipumba,nadhani lipumba naye yuko kwenye payroll ya mtu fulani ili kuivuruga CUF,tukio la Arusha na la Lipumba kuisumbua CUF yanafanana sana
Lema, Msigwa na Nassari wameboronga na bomu walilotega limewalipukia. Kama huo ndio ushahidi waliokuwa wanatamba nao basi wajue wamepotea stepu.
mmekutanaHaisaidii chochote. Cha msingi wakae chini wajipange kujenga chama chao. Waelekeze fikera zao katika kuhudumia wananchi, waache siasa za mipasho.
Mpira hauna upepo.Nyie mazwazwa tulieni mpira uko Takukuru huko zitajulikana mbivu na mbichi
Kujenga chama ni pamoja na Kuzuia Madiwani wao kuhama ikiwamo kugundua sababu na mbinu chafu ianayowafanya wahameHaisaidii chochote. Cha msingi wakae chini wajipange kujenga chama chao. Waelekeze fikera zao katika kuhudumia wananchi, waache siasa za mipasho.
Madiwani wanahama kufuata siasa safi. Kama chama chao kinegekuwa kina siasa safi madiwani wasingedhubutu kuwasaliti. Angalia CCM baada ya uchaguzi wa mwaka juzi, nani kahama? Wanazidi kujizolea wanachama lukuki.Kujenga chama ni pamoja na Kuzuia Madiwani wao kuhama ikiwamo kugundua sababu na mbinu chafu ianayowafanya wahame
Watahamaje wakati ndiko kwenye hela zote za Nchi ziko hapo??Madiwani wanahama kufuata siasa safi. Kama chama chao kinegekuwa kina siasa safi madiwani wasingedhubutu kuwasaliti. Angalia CCM baada ya uchaguzi wa mwaka juzi, nani kahama? Wanazidi kujizolea wanachama lukuki.
Wahenga walisema ukitaka kumla nguruwe chagua aliyenona. Kwa nini basi hao madiwani wasiende kwenye hela? Ni nani nchi hii hapendi pesa? Waambieni hata hao akina Lema wajiunge na chama tawala watapata pesa.Watahamaje wakati ndiko kwenye hela zote za Nchi ziko hapo??
Ukweli wa kibavicha?Acheni ujinga nyinyi, mnataka kumsafisha DC wenu na madiwani wenu kwenye ukweli mtupu!!!
Ninaamini sasa makamanda vijana watalipua bomu kuu kuliko yote wait tick---tick --tick--Mpaka sasa DC Mnyeti na madiwani wawili wamekanusha tuhuma mlizozielekeza kwao huku madiwani wawili wakiwatuhumu nyinyi kwa kutengeneza hizo video huku diwani mmoja akiziita hizo clip kuwa ni za kitoto.
Hivyo ili kukata mzizi wa fitina, nawashauri ikiwezekana hata kesho mtoe video ambazo awali hamkuzitoa pamoja na hiyo print out ya mazungumzo maana kejeli zimenza na zikisemwa sana bila nyinyi kuonyesha ushahidi wa ziada zitageuka kweli kwa baadhi ya watu hasa wale ambao sio wafuatiliaji wa mambo hivyo ni rahisi kudanganywa na hizi propaganda za baadhi ya wana-CCM.
Hatari ninayoina ni wanapropaganda hawa kuwageuzia nyinyi kibao kwa kujifanya wana mapenzi na CHADEMA na kuanza kuwazushia maneno kuwa mnakiweka chama pabaya licha ya wao mpaka sasa kushindwa kujibu tuhuma hizi pasipo kuacha shaka yoyote.
Kwa sasa hamna haja tena ya kumsitiri yoyote yule hata awe nani maana hii sasa ni sawa vita ambayo siku zote haina macho
Mpira hauna upepo.