Lema na Msofe kituko Arusha!

Lema na Msofe kituko Arusha!

Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema na Naibu Meya wa Jiji la Arusha Msofe wazindua Hospitali ambayo hawakushiriki kuijenga katika mbio za Mwenge!
Source; Habari Magazetini.

Kabla hujaandika you should have used your common sense kwa kujiuliza

Lema ni Mbunge wa Arusha... alichaguliwa na wananchi wa Arusha ambao ni walipa kodi (pesa) hiyo hospitali imejengwa kwa kutumia pesa au magwanda ya ccm? So is msofe.

Lema na Msofe wote ni wawakilishi wa wananchi kama alivyo wassira and the like.
usiwe mvivu wa kufikiri.
 
Ni kweli kabisa maana wachawi wote hisema wacha Mungu hawana akili. Hivi nyie mnaoagua nchi kwa ramli ya kizanaki ndio mna akili siyo. Na wote mnaokimbiza na kuudhuria mwenge mmeudhuria mabaraza ya wachawi. Ni wachawi.

Mwenge ni muhimu sana kwa taifa.. Ni tunu ya Taifa.
 
Kabla hujaandika you should have used your common sense kwa kujiuliza

Lema ni Mbunge wa Arusha... alichaguliwa na wananchi wa Arusha ambao ni walipa kodi (pesa) hiyo hospitali imejengwa kwa kutumia pesa au magwanda ya ccm? So is msofe.

Lema na Msofe wote ni wawakilishi wa wananchi kama alivyo wassira and the like.
usiwe mvivu wa kufikiri.

Lema atafute miradi yake aizindue, asidandie miradi isiyomuhusu
 
Kwa hili LEMA amejidhalilisha sana.

Ila kama kawaida yake ataona anaonewa.
 
Mwenge ni muhimu sana kwa taifa.. Ni tunu ya Taifa.

Kweli kabisa, ni Tunu ya ccm maana ndio UCHAWI ni tunu ya ccm, mnatumia kushinda. Toka watumishi wa Mungu waanze kuomba kinyume na hii ramli ya kizanaki naona mnachanganyokiwa na mkipoteza umaarufu. Hii ni ramli tu ka za akina maji marefu kifimbo shekh yahaya ambao pia ni makada wa ccm. Hii ina maana nyie ni wachawi maana mnakula nao kuwatumia na wanawatawala. Huu ni mwisho wa ramli ya kizanaki itaenda makumbusho 2015.
 
llema hata azindue chuo kikuu aliyojenga sitamwelewa kwakuwa haikuwa sehemu ya kampeni yake,mpaka kwanza azindue machinga complex mana ndo iliyomuingiza bungeni.
 
Kweli kabisa, ni Tunu ya ccm maana ndio UCHAWI ni tunu ya ccm, mnatumia kushinda. Toka watumishi wa Mungu waanze kuomba kinyume na hii ramli ya kizanaki naona mnachanganyokiwa na mkipoteza umaarufu. Hii ni ramli ka za akina mji marefu kifimbo shek yahaya ambao pia ni makada wa ccm. Hii ina maana nyie ni wachawi maana mnakula nao kuwatumia na wanawatawala. Huu ni mwisho wa ramli ya kizanaki itaenda makumbusho 2015.

We inaonekana ni mchawi ndio maana huupendi mwenge . Mwenge ni ishara ya Uhuru wa Mtanzania.
 
llema hata azindue chuo kikuu aliyojenga sitamwelewa kwakuwa haikuwa sehemu ya kampeni yake,mpaka kwanza azindue machinga complex mana ndo iliyomuingiza bungeni ndipo nitakapo mwelewa.
 
We inaonekana ni mchawi ndio maana huupendi mwenge . Mwenge ni ishara ya Uhuru wa Mtanzania.

Aaaaah aaaaah!! Jitaje uzuuri maana bible yangu haina mwenge. kama Mwenge unatetewa na Maji marefu ambaye ni baba yako mdogo tunakutengaje naye. Umeshitukiwa sasa unataka kuhamisha hoja. We si ulikuw kwenye mwenge na imeandikwa ole wao waabuduo moto.
 
Kwani lema unadhani amewahi kuwa na akili hata siku moja?
hayo matusi sasa. Lema ana akili sana ila si mwanasiasa mzuri. Ni mwana harakati! Hafai kuwa mbunge wa Arusha. CDM watafute mgombea mwingine makini vinginevyo jimbo ninaenda CCM au ACT.
 
Aaaaah aaaaah!! Jitaje uzuuri maana bible yangu haina mwenge. kama Mwenge unatetewa na Maji marefu ambaye ni baba yako mdogo tunakutengaje naye. Umeshitukiwa sasa unataka kuhamisha hoja. We si ulikuw kwenye mwenge na imeandikwa ole wao waabuduo moto.

Mwenge hauhusiani na dini wala imani yoyote.. Mwenge unaashiria Uhuru na Utaifa.. Ni heshima kubwa kuwa na mwenge mpaka leo...
 
Mwenge hauhusiani na dini wala imani yoyote.. Mwenge unaashiria Uhuru na Utaifa.. Ni heshima kubwa kuwa na mwenge mpaka leo...

nimecheka hadi nimepaliwa SUPU ! LEO IBADA YA SHETANI IMEKUWA HESHIMA ? KWELI NJAA MBAYA SANA !
 
Kwani mwenge wa uhuru huwa unakuwa ulishiriki katika ujenzi wa miradi inayozinduliwa nao?
 
ubongo wako umeliwa na siasa, hata kufikiria unashindwa. pole sana.
 
Mwenge hauhusiani na dini wala imani yoyote.. Mwenge unaashiria Uhuru na Utaifa.. Ni heshima kubwa kuwa na mwenge mpaka leo...

Acha kupotosha mwenge mmeandika kuwa unaleta nuru na matumaini kwa kuangaza ndani na nje ya tanzani. Hii ndio utopian au nadharia imagination ya mwenge sasa soma hapa kwa makini. Usitutowe kwenye hoja.

Sasa kwasababu huo mwanga na nuru unayozungumzia hata ukiwaka vipiunamulika mita mbili tu.Kwahiyo ni
imagination kuwa unamulika hadi nje
ya nchi. Chochote kinachofikirika huwa
kipo kiroho na si asilia. Na chochote
cha kiroho huwa ni cha Mungu au
cha Shetani hakiwezi kuwa katika.
Kama ni chema ni cha Mungu kibaya
cha shetani.
Sasa wewe umesema mwenge unatoa
matumaini pasipo na matumaini. Kwa
wakristo Yesu mwenyewe anasema
hivi "Mimi ndio.nuru na uzima".
Kwahiyo kusema mwenge ni nuru ni
kuwaletea wakristo Mungu mwingine.
(Hapa waisikamu nao watanisaidia
kufafanua upande wao ambao sijui).
Anafafanua zaidi usimwaabudu
Mungu mwingine ila mimi tuu. Sasa
kwa maelezo yako hapo juu ni dhairi
hatuwez wakriso tukatengeneza nuru
nyingine nje ya Mungu tulie naye.
Lakini pia Mungu kaonya juu ya
kuabudu moto na kwakua mwenge ni
moto ambao maana yake halisi kama
jembe kaz yake linalima, bendera ni
utambulisho haijaelezwa zaidi ya
imagination. Yaani ka Kinjekitile
Ngwale alivyokuja na maji kishirikina
na kuwaaminisha asikari wake kuwa
ukijipaka risasi haipenyi. Basi ni dhairi
bila shaka kuwa mwenge ni wa
shetani na ni ramli. Pia inathibitishwa
na ukweli kuwa ulikuwa unatumika na
Machief wa Kizanaki kama njia ya
kunyamazisha watawaliwa kwa imani
hivi hivi.

Ni utopian yaani imagination ka ukienda kwa mganga anakuambia tafuta kiungo cha albino uwetajiri. Sawa na kimbizeni mwenge mpate nuru.
Jembe kazi yake kulima Bendera ni
utambulisho sasa mwenge ni ni nini
kwa vitendo siyo imani. Kunatofauti
gani anaye ona matumaini kupitia
mwenge na anayeona matumaini
kupitia kiungo cha albino?
Tukubaliane kuwa hata kama
umekuwepo miaka hamsini tusikitike
tu kuwa ni uchawi na ni ramli ka ramli
zingine tu za kawaida.
 
Back
Top Bottom