sirluta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2012
- 6,324
- 2,494
- Thread starter
- #21
Naona mmekaa watatu mnajibisha wenyewe kwa wenyewe!!! Yaani Arusha saa hiz watu wako kwenye kazi hawapotezi muda. Lema ni raisi wa Arusha wala huna hata wazo la kumbadilisha. Na madiwani wa ccm waliobaki waambieni wakusanye virago. Mbona jk mwenyewe anajua hafanyi ziara arusha. Mtatukanaa lkn wanaarusha tunaelewa na sisi ndio final. Rukeni rukeni tumekuja " DELETE KABISA" Kufagia buibui wote maana arusha mlisha kaa.
subiri utoke Mirembe uje ukoment vizuri