nimecheka hadi nimepaliwa SUPU ! LEO IBADA YA SHETANI IMEKUWA HESHIMA ? KWELI NJAA MBAYA SANA !
Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema na Naibu Meya wa Jiji la Arusha Msofe wazindua Hospitali ambayo hawakushiriki kuijenga katika mbio za Mwenge!
Source; Habari Magazetini.
Ibada gani hiyo?
Viroba vinawasumbua. Lema mpaka aache viroba ndo akili yake itatengamaa
Naona mmekaa watatu mnajibisha wenyewe kwa wenyewe!!! Yaani Arusha saa hiz watu wako kwenye kazi hawapotezi muda. Lema ni raisi wa Arusha wala huna hata wazo la kumbadilisha. Na madiwani wa ccm waliobaki waambieni wakusanye virago. Mbona jk mwenyewe anajua hafanyi ziara arusha. Mtatukanaa lkn wanaarusha tunaelewa na sisi ndio final. Rukeni rukeni tumekuja " DELETE KABISA" Kufagia buibui wote maana arusha mlisha kaa chini.
Soma vizuri, Mh.Lema alishiriki uzinduzi wa miradiMbunge wa Arusha mjini Godbless Lema na Naibu Meya wa Jiji la Arusha Msofe wazindua Hospitali ambayo hawakushiriki kuijenga katika mbio za Mwenge!
Source; Habari Magazetini.
Hivi kwa mini Lema na Meya walishiriki? Halafu wewe unasema kwa mini Mwenge unafuatiliwaPoleni sana kwa mnaoendelea kufuatilia Mwenge usiokuwa na tija kwenu.
Kabla hujaandika you should have used your common sense kwa kujiuliza
Lema ni Mbunge wa Arusha... alichaguliwa na wananchi wa Arusha ambao ni walipa kodi (pesa) hiyo hospitali imejengwa kwa kutumia pesa au magwanda ya ccm? So is msofe.
Lema na Msofe wote ni wawakilishi wa wananchi kama alivyo wassira and the like.
usiwe mvivu wa kufikiri.
Sio magazetini sema iko kwenye gazeti la Uhuru!Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema na Naibu Meya wa Jiji la Arusha Msofe wazindua Hospitali ambayo hawakushiriki kuijenga katika mbio za Mwenge!
Source; Habari Magazetini.
Kwani mwenge nini? Ndio uliojenga hospitali?Swali liwe hivi: je Lema na Msofe walishiriki kuzindua miradi wakati Mwenge unapita? Au hio miradi ilizinduliwa na Lema/ Msofe bila Mwenge kuwepo?
Kwani mwenge nini? Ndio uliojenga hospitali?
Mhh kwani anaye jenga ndio a
natakiwa kuzindua?
Ni pale ulipohoji "au hio miradi ilizinduliwa na Lema/Msofe bila mwenge kuwepo?" ndipo nikahoji kwani miradi haiwezi kuzinduliwa mpaka mwenge uwepo?Mhh kwani anaye jenga ndio anatakiwa kuzindua?
Ni pale ulipohoji "au hio miradi ilizinduliwa na Lema/Msofe bila mwenge kuwepo?" ndipo nikahoji kwani miradi haiwezi kuzinduliwa mpaka mwenge uwepo?
Mwenge ni jini...
Hahahaha hamna mnachokijuwa nyie misukule ya bavichaa zaidi ya matusi, pole yako.
Ww ni janga la familia yako!
Porn kila mtu rijali anafanya, ila sema tu wafanyaji wengi hawajabaatika kupiga pichaTangu nione picture za porn za lema nilimdharau sana