Miss Madeko
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 4,414
- 5,697
Yawezekana waliombana msamaha, kiushkaji. Na hapa sio Lema pekee, viongozi wengi wa CDM hii inawahusu. Lakini kwenye siasa kuna mambo ya ajabu, mtu anaweza kumtukana mwenzake baada ya muda wako wote wanakunywa juisi pamoja!
Lakini kwenye list ya waliobenza LOWASA wakajiondokea zao wale wa CCM siwakumbuki nikumbushe mkuu mmoja ni yule alieacha yule zezeta bungeni