Lema muombe Lowassa msamaha uwe huru

Lema muombe Lowassa msamaha uwe huru

Kama polepole hajamuomba msamaha ijekuwa Lema??, ko Mwakyembe hajamwomba msamaha ijekuwa Lema??, Ungeanza kumshauri kikwete na genge lake kuzima ndoto zake za Urais kwani hata Lowa anakinyongo nao kuliko mtu yeyote!!! Na kama hujui Bashe alitumiawa na Edo kufikisha ujumbe.
 
Kwani kina Polepole , Nape Msukuma umekwisha wataarifu? mkuu punguza kiherehere
Ndugu zangu,

Godbless Lema kipindi anafanya kampeni mnamo September 2013 kumpigia Debe Nassari alisikika akisema "...ni heshima kubwa kwa mungu kumuida Lowassa fisadi"..

Mengi yamepita na hata Lowassa alipojiunga CHADEMA Lema aliishi kwa wasiwasi. Tangu Nassari avuliwe ubunge Lema amekuwa kimya na mwenye aibu nyingi ukizingatia alivyompigania halafu dogo hayupo siriazi.

Ikumbukwe pia,Lema na Nassari walishiriki movie ya kuua na kuzika mbwa.

Ukweli utakuweka huru ndugu Lema,usiishi kwa wasiwasi na aibu,mtafute Lowassa na umuombe radhi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumeshaona jinsi posti zetu zinavyoyumbishwa na hamahama ya wanasiasa hilo laweza kukutokea. Lakini pia kwa muungwana, kila unapomnyooshea mwenzako kidole ukumbeke vidole vinne vinakuelekea wewe. Kama iwapo inathibitika aidha humu jukwaani au penginepo ulifanya hivyo ni vema ukamuomba radhi.
 
Ninyi mliokuwa mkimtukana tena matusi ya nguoni bila aibu. Hivi sasa mmeamua kuja na style mpya ya kumsafisha/kujipendekeza kwake kwa kisingizio cha Mh Lema?? Mlimuita nyoka sasa mnaishi nae chumba kimoja. Pambaneni na hali yenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huko aliko ni wengi tu walimtukana Mzee wetu,nafsi zao zinajuwa na zinawasuta.maandiko matakatifu yanasema hakika kwa Mwenyezimungu tutarejea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yawezekana waliombana msamaha, kiushkaji. Na hapa sio Lema pekee, viongozi wengi wa CDM hii inawahusu. Lakini kwenye siasa kuna mambo ya ajabu, mtu anaweza kumtukana mwenzake baada ya muda wako wote wanakunywa juisi pamoja!

muu hata alipokuwa CDM pole polena wenzake walimsema sana na leo yuko kwao wamefunga domo je na wao wamuombe msamaha EL?
 
unazungumzia Lowassa mzee wa kujiharishia ? ambae CCM akina Celina Komba waliogopa hiki kizee kuwafia ikulu japo wamekufa wao ??
ndio hicho kizee ? kilichokaribishwa kikakimbia kabla hata mwenyeji wake hajatoka gerezani ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom