Kabisa Lema tupo pamoja, wewe piga maisha huko sisi tunapiga huku kivyetu huo ndio ukamanda.Komaaa hadi 2020alafu komaa tena 2025.utakuwa umepata miujiza yakutoshaTuko pamojah Lema tunakuamini sisi wana wa A Town utatutumikia hata kama uko gerezani na 2020 tutakuchagua hata kama uko gerezani
swissme
Always nasema hapa serikali inafanya big big mistake kumuwek huyu jamaa ndani maana kama hawaoni basi watakuja kuona kama kweli au lah....maana kwa jinsi hali ilivyo sasa hivi hapo watu hawajafurahi kbisaa mahakama kufata sheria za mtu binafsi.....
Tuko pamojah Lema tunakuamini sisi wana wa A Town utatutumikia hata kama uko gerezani na 2020 tutakuchagua hata kama uko gerezani
swissme
Adabu haifunzwi hivyo, u can't deal with Lema using those weak and old tactics.Ngoja dunia imfunze adabu
Freedom is coming tomorrow
Na wewe ngoja Mungu a deal na wewe.Ngoja dunia imfunze adabu
Sheria inafanya Kazi kwa Lema lakini kwa Mulla hapana?Msilalamike sana, uwa mnasema kuwa Tanzania hakuna sheria. Sasa sheria zinafanya kazi, mnaanza kulalamika.
Asiyefunzwa na mama yake dunia inamsubiriTuko pamojah Lema tunakuamini sisi wana wa A Town utatutumikia hata kama uko gerezani na 2020 tutakuchagua hata kama uko gerezani
swissme
Hivi ni CCM au mwenyekiti wao?CCM watajutia uamuzi huu
Asiyefunzwa na mama yake ulimwengu unamsubiri. Wacha dunia imfunze adabu anyookeNatangaza rasmi kuwaongeza super nova na LuSilk kwenye orodha ya mataahira JF!
Ilikuaje kwa waliofungwa na bado wakaja kuwa Viongozi?Akifungwa tu tayari sifa ya kuwa kiongozi inapotea,,,