Lema maji ya shingo Arusha

Kuna jamaa wa cuf amedai asiporudishiwa gharam zake hawezi kujitoa ,anadai cdm wanambabaisha kumlipa ili ajitoe
Chanzo azam tv
 
Naona anatuma message mpaka muda huu
 
Na hawa???
 

Attachments

  • 1449988816767.jpg
    17.5 KB · Views: 902
Naona wafuasi wa lema wanatafuta uungwaji mkono wa kwenda kushinikiza tume.
 
Sasa ameanza rasmi kampeni za kutuma spam messages akiomba kupigiwa kura.

Inasikitisha hii mitandao yetu kutumika kwenye kampeni na kugawa namba zetu kwa wanasiasa.

Wale waliosema lema hatapiga kampeni waje humu tujadiliane

Habari ya Mwanza, ila kwenye uchaguzi mwanza hawakufanya makosa, walipiga nyundo ya utosi, paaaaaaah!

Tanzania tuna maajabu mengi...kuna wanyama aina ya nyumbu kila msimu wanahama toka mbuga hii kwenda nyingine sijuhi wako wapo sasa hivi!

Mwisho wa mwezi huu kinaeleweka

nimesikia anagawa na vyandarua! Hahahahahahaha

Hata mimi kwenye kampeni za Lowassa nilikuwa naenda. Of course sio kusikiliza pumba zake...bali kutazama namna anavyo tetemeka na anavyo jinyea. Nilitaka nijionee kwa macho. Na Jumapili sikufanya makosa....nilimkata!

Muache ajifariji baada ya kuangukia pua.

Mwisho wa mwezi kuna tukio jingine
...wewe huwezi juwa kaa kimya!

Arusha wanataka connection za biashara sio vurugu za maandamano

Tumebadilika Baba! Lema katuletea wajane na mayatima.sasa Tunataka tupige pesa. Monaban fungua milango biashara zimezorota na hatutaki maandamano.

Duh mbona walisema apigi kampeni

Arusha wajitambue kuwa na lema kama kuwa na nape tuu hawana tofauti wote walopokaji


Akili ya vijana wa ccm ni ya kutumwa tu zaidi ya hapo ni ujinga mtupu.
Hizi hoja za ccm kushinda zinatoka wapi? leo kuna uchaguzi na matokeo yatakuwepo baadae tatizo nini?
Tulieni mpate matokeo.
 
Hebu tupate update kutoka huko Arusha sasa...mleta uzi tafadhali...
 
Maji ya shingoo eee
 

Attachments

  • 1450016517062.jpg
    30.6 KB · Views: 423
  • 1450016531065.jpg
    30.8 KB · Views: 410
Sasa ameanza rasmi kampeni za kutuma spam messages akiomba kupigiwa kura.

Inasikitisha hii mitandao yetu kutumika kwenye kampeni na kugawa namba zetu kwa wanasiasa.
mjomba bado uko hewani?
 
Hadi sasa matokeo ya vituo 130 chadema imeshinda vituo 130----ccm 000
 
huwa siwaelewi watu wanaoingua mkono CCM humu ndani kwa nini majina yao kwa lugha yetu ya kiswahili huwa na maana ya ajabu ajabu sana. Sasa huyu jingalao sijui anajuana na yule barafuyamoto, maana afadhali hata yule naye aliyejiita Mudawote. Kazi ya Lema kuvuka maji ya shingo mliyoyaona kwenye ndoto zenu ndiyo keshaimaliza!!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
💯💯✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌🆗🆗🆗🆗sehemu zenye akili hakuna ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…