craap!!!! Wewe ni mpuuzi unae kesha humu na thread za kipuuzi, lema yupo bungen ana wakilisha zaidi ya wananch million 3, wewe hata kuwakilisha familia yako ume shindwa.
Halafu ukimuangalia usoni ni mkavuuu, hana hata tone la aibu! Kibaya zaidi, haangalii hata umri wake! Anakuwa muongo ka babu wa kikombe mzee wa Samunge!
Yaani leo alikuwa anapiga makelele kama mnywa gongo! sijui alilelewa mazingira gani ya kukosa heshima kwa watu waliomzidi umri. wanaomjua vizuri utotoni fungukeni.