Lema: Kuna uwezakano wa Mayor/ wenzake kuwepo mahabusu mpaka wiki ijayo. Lakini kila mtu ajue | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lema: Kuna uwezakano wa Mayor/ wenzake kuwepo mahabusu mpaka wiki ijayo. Lakini kila mtu ajue

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Francis12, May 19, 2017.

 1. Francis12

  Francis12 JF-Expert Member

  #1
  May 19, 2017
  Joined: Sep 30, 2016
  Messages: 5,987
  Likes Received: 14,129
  Trophy Points: 280
  Anaandika Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mhe Godbless J Lema
  Kuna uwezakano wa Mayor/ wenzake kuwepo mahabusu mpaka wiki ijayo. Lakini kila mtu ajue atavuna anachopanda . Only time will tell.

  My take =
  Mmekula rambirambi mmeona haitoshi mmewakamata na watoa rambirambi na kuzuia dhamana zao ni haki yao kisheria

  Hakika huu ndio "UONGOZI UNAOACHA ALAMA."
   
 2. S

  Salary Slip JF-Expert Member

  #2
  May 19, 2017
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 24,076
  Likes Received: 34,675
  Trophy Points: 280
  Mungu awalaani wao na vizazi vyao.

  Sijui tulidai uhuru wa nini!!!
   
 3. kirikou1

  kirikou1 JF-Expert Member

  #3
  May 19, 2017
  Joined: Nov 8, 2016
  Messages: 2,722
  Likes Received: 3,311
  Trophy Points: 280
  naona watawala wanakimbia vivuli vyao
  poor poor gambo &co
   
 4. mogulnoise

  mogulnoise JF-Expert Member

  #4
  May 19, 2017
  Joined: Oct 28, 2014
  Messages: 1,301
  Likes Received: 3,452
  Trophy Points: 280
  Rambirambi siku hizi ni nyara za taifa ukikutwa na rambirambi ni sawa na meno ya tembo
   
 5. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #5
  May 19, 2017
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 17,914
  Likes Received: 9,007
  Trophy Points: 280
  Hili ni fundisho kwa wote wanaoingiza siasa kwenye misiba...yaani hata maiti hazijapoa watu wanataka kujichukulia umaarufu wa kisiasa.

  Acha wakae hadi next week ili wajitambue
   
 6. R

  Robinhomtoto JF-Expert Member

  #6
  May 19, 2017
  Joined: May 17, 2017
  Messages: 240
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 60
  Mungu ni mwema atawalinda Na mabaya yote
   
 7. YEHODAYA

  YEHODAYA JF-Expert Member

  #7
  May 19, 2017
  Joined: Aug 9, 2015
  Messages: 8,802
  Likes Received: 7,830
  Trophy Points: 280
  Lema naye alisema natoka Next Week alikata miezi mahabusu haya tumekusikia lema
   
 8. M

  Msengapavi JF-Expert Member

  #8
  May 19, 2017
  Joined: Oct 23, 2008
  Messages: 4,405
  Likes Received: 2,357
  Trophy Points: 280
  Umeona, seriously iko siku ukweli utakuwa wazi na udhalimu utakoma; wadhalimu watatafuta pa kujificha na hapatakuwapo! Siku hiyo haiko mbali!
   
 9. a

  airbag JF-Expert Member

  #9
  May 19, 2017
  Joined: Sep 5, 2016
  Messages: 766
  Likes Received: 834
  Trophy Points: 180
  Una laana wewe na serikali yako.
  Mlitaka na hizo rambirambi mkale.

  Kasababisheni ajali nyingine mpate rambirambi.
   
 10. pepsin

  pepsin JF-Expert Member

  #10
  May 19, 2017
  Joined: Apr 23, 2015
  Messages: 2,805
  Likes Received: 2,460
  Trophy Points: 280
  Hivi mtoto akikosea lawama si kwa mzazi wake?
  Mh.Rais hatupendezwi na baadhi ya mambo unayoyaendekeza,siasa uchwara zinazominya umoja wa kitaifa. Tatizo nini ? Au ndio kufuata nyayo za Rwanda kama inavyobashiriwa? Upendo wa Kitanzania udumishwe pasi na kuendekeza siasa za kudhulumiana
   
 11. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #11
  May 19, 2017
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,616
  Likes Received: 1,227
  Trophy Points: 280
  Inakuwa kama vile ni taifa lililolaaniwa.
   
 12. leonaldo

  leonaldo JF-Expert Member

  #12
  May 19, 2017
  Joined: Oct 26, 2014
  Messages: 1,220
  Likes Received: 1,136
  Trophy Points: 280
  Oooh kila kitu kina mwanzo na mwisho, tawala huja na kupita,mazuri,mabaya nk. Jipeni mioyo.
   
 13. kilambalambila

  kilambalambila JF-Expert Member

  #13
  May 19, 2017
  Joined: Nov 16, 2013
  Messages: 6,454
  Likes Received: 2,432
  Trophy Points: 280
  Mayor alikuwa anasimuliwa habari za mahabusu na lema sasa atayaona mwenyewe....
   
 14. Tetty

  Tetty JF-Expert Member

  #14
  May 19, 2017
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 24,650
  Likes Received: 15,742
  Trophy Points: 280
  IPO nyingine Mkuu. Iringa wachimaji wadogo wamefukiwa,naona wataenda huko.
   
 15. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #15
  May 19, 2017
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,144
  Likes Received: 10,129
  Trophy Points: 280
  Wakikaa hadi next week wewe utafaidika nini, ujinga?

  Post za kijinga namna hii ndizo zinazozalisha magaidi kama ya Kibiti.

  Unavyofurahia mwenzako kupata matatizo hauna tofauti na wale wanaofurahia mauaji ya viongozi wa CCM Kibiti.
   
 16. Mwifwa

  Mwifwa JF-Expert Member

  #16
  May 19, 2017
  Joined: Apr 3, 2017
  Messages: 10,870
  Likes Received: 26,533
  Trophy Points: 280
  Jingalao, hukukosea kujiita hivyo.
   
 17. Tetty

  Tetty JF-Expert Member

  #17
  May 19, 2017
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 24,650
  Likes Received: 15,742
  Trophy Points: 280
  Aliyekwambia Mayor haijawahi kulala Mahabusu nani??Tena alikaa week mbili.Pole huwa mnasahau mnayowatendea watu.
   
 18. D

  Duterte JF-Expert Member

  #18
  May 19, 2017
  Joined: Nov 19, 2016
  Messages: 1,066
  Likes Received: 1,095
  Trophy Points: 280
  Inasikitisha na kuhuzunisha sana Watu tumepoteza watoto na hata hatujamaliza msiba siku 40....then kuna mijitu kwa Maslahi Yao binafsi wanaingiza mambo ya SIASA!!!!!!!!! SERIOUSLY!!!!?????
   
 19. j

  jiwe la majiwe JF-Expert Member

  #19
  May 19, 2017
  Joined: Sep 18, 2016
  Messages: 1,552
  Likes Received: 846
  Trophy Points: 280
  Tatizo nini....?
  Hamna dhamana au wadhamini...?
  Bado wanaendelea kuhojiwa....?

  Hebu tueleze bwana Francis12.....maana binafsi naona ni kama imposible watu hao kushikiliwa mda wote huo.
   
 20. leonaldo

  leonaldo JF-Expert Member

  #20
  May 19, 2017
  Joined: Oct 26, 2014
  Messages: 1,220
  Likes Received: 1,136
  Trophy Points: 280
  Kila amuombeaye ndugu yake MABAYA anajitenga na rehema za mwenyezi Mungu,
  TAFAKARI
   
Loading...