Lema: Kuna uwezakano wa Mayor/ wenzake kuwepo mahabusu mpaka wiki ijayo. Lakini kila mtu ajue

Kuandika kuna uwezekano inatia aibu, kwanini hana subira!?

Yeye mwenyewe hajiamini bali anataka kuchochea jambo hili kwa kulikuza, huku hata yeye inavyoelekea hajui makosa waliyofanya.

Aonyeshe mfano w kuwa na subira kama kiongozi. Hivi jimboni kwake anafanya nini cha maana lakini? Yapi mapya mtujuze wengine sisi
Serikali hii mpya imeanzisha Rasmi utawala wa kikabili,ambao unavunja sheria hadharani,vikiambatana na vitisho,uchochezi,na mengi mabaya,ambayo mbegu yake iliatikwa muda mrefu nyuma,CCM sasa rasmi inavuna ilichopanda,isipokuwa kuwa tuu,serikali hii imevuka mipaka,kuficha siri kwa kuvunja sheria kweupe,na serikali chafu,kuliko serikali zote za taifa hili,toka kupata uhuru,Ni sawa sio kwamba kila kitu kulikwenda sawa miaka ya nyuma,sisi wananchi tumekuwa na imani ya amani yote ya nyuma,serikali hii inaharibu sifa yote ya Taifa hili,Lema halaumiki,watu wanaogopa kusema ukweli,na hiyo itapelekea serikali kufikiria raia tumewazibiti na kuzidi kila kukicha kuendeleza ukatili,ikiwa waasisi wa Taifa hili ,wanakaa kimya kutoingilia kati na kuelekeza utawala,katika Amani na utawala bora,ikiwa mambo yataendelea katika na na hii basi ni bora tujitayarishe na laana ya Mungu,historia inaeonesha za nchi nyingine,zilizopo katka majanga,bado tumuombe Mungu tusifikie huko,lakini Kwa namna serikali isiyojali,isyosikia,isiyoona,isiyofahamu,itatupeleka pabaya,tunamuomba rais aache tabia ya kukaa kimya.na kutovikanya vitendo vibaya Akiwa yeye,alikula kiapo cha kutenda haki na huruma kwa raia wake,Rais aache upendeleo,kwa kuruhusu hao anaowachagua,kuvunja amani na utulivu uliokuwepo,tunazidi bado kuliombea Taifa hili amani,lakini hivi vitendo vya kidicteta vinavyoendelea vinaweza kuipelekea pabaya jamii.
Mungu ibariki Tanzania.
 
Hili ni fundisho kwa wote wanaoingiza siasa kwenye misiba...yaani hata maiti hazijapoa watu wanataka kujichukulia umaarufu wa kisiasa.

Acha wakae hadi next week ili wajitambue
unafahamu mazingira yaliyopelekea kukamatwa kwao? Inakuwaje mtu unachuma dhambi katika jambo dogo la kipuuzi kama hili? Nani aliyeanza na kuendeleza siasa katika huu msiba? Yaliyofanyika pale uwanjani Sheikh Amri Abeid unaona sio siasa na ni ya kawaida? Kuna laana zingine kama mtu binafsi na taifa tunazitafuta kwa bidii zetu wenyewe.
 
Mshahara wa dhambi ni mauti, kwa udhalimu, uonevu na ukandamizaji huu anaowafanyia wengine akumbuke ana watoto na yeye hatakuwa ktk madaraka milele, hii laana ya uonevu Mungu atailipa kama sio kwake kwa kizazi chake.
 
Mshahara wa dhambi ni mauti, kwa udhalimu, uonevu na ukandamizaji huu anaowafanyia wengine akumbuke ana watoto na yeye hatakuwa ktk madaraka milele, hii laana ya uonevu Mungu atailipa kama sio kwake kwa kizazi chake.

Kuna Viongozi watakimbiza watoto wao Ughaibuni baada ya wao kuona wanakaribia kufa.Mfano Mkapa watoto wake wako Ughaibuni,nategemea JK atakimbiza watoto wake,akina Gambo na Bashite hawa watakimbiza familia zao kwa chuki walizopanda kwa RAIA.
 
Back
Top Bottom