Lema: Kuna uwezakano wa Mayor/ wenzake kuwepo mahabusu mpaka wiki ijayo. Lakini kila mtu ajue

Hivi mtoto akikosea lawama si kwa mzazi wake?
Mh.Rais hatupendezwi na baadhi ya mambo unayoyaendekeza,siasa uchwara zinazominya umoja wa kitaifa. Tatizo nini ? Au ndio kufuata nyayo za Rwanda kama inavyobashiriwa? Upendo wa Kitanzania udumishwe pasi na kuendekeza siasa za kudhulumiana

Kwa miaka 23 tumeshuhudia nchi ikiongozwa na utawala wa Visasi,Chuki na Ubaguzi. Wanachopanda ndicho watakachovuna.Hakuna chenye mwanzo kikakosa mwisho.Hata Yesu aliishi miaka 33 na alikuwa Mwana wa Mungu Sembuse CCM
 
Maneno ya Lema si ya kupuuzwa hata kidogo, anajua anachokifanya na ndio maana anaongea kwa kujiamini, hata mimi nakiri wazi kabisa..time alone..time will tell..huwezi ukapeleka mambo kiubabe bila kufuata maridhiano aisee! Mayor na viongozi wa dini waliokamatwa wana makosa gani? dah
 
Tatizo nini....?
Hamna dhamana au wadhamini...?
Bado wanaendelea kuhojiwa....?

Hebu tueleze bwana Francis12.....maana binafsi naona ni kama imposible watu hao kushikiliwa mda wote huo.

Mzee wa Visasi na Chuki aka Mrisho Gambo anatekeleza Ilani ya Chama Cha Mapinduzi, Maana Ilani ya CCM ni Visasi na Chuki,Ika simshangai dini yake inamruhusu.

Ika kuweka ndani Mapadre wetu atalupua hilo.
 
Kuandika kuna uwezekano inatia aibu, kwanini hana subira!?

Yeye mwenyewe hajiamini bali anataka kuchochea jambo hili kwa kulikuza, huku hata yeye inavyoelekea hajui makosa waliyofanya.

Aonyeshe mfano w kuwa na subira kama kiongozi. Hivi jimboni kwake anafanya nini cha maana lakini? Yapi mapya mtujuze wengine sisi
 
Hili ni fundisho kwa wote wanaoingiza siasa kwenye misiba...yaani hata maiti hazijapoa watu wanataka kujichukulia umaarufu wa kisiasa.

Acha wakae hadi next week ili wajitambue
Mmekula rambirambi mmeona haitoshi mmewakamata na watoa rambirambi na kuzuia dhamana zao ni haki yao kisheria.
Mna laana nyie
Lema naye alisema natoka Next Week alikata miezi mahabusu haya tumekusikia lema
 
Kuandika kuna uwezekano inatia aibu, kwanini hana subira!?

Yeye mwenyewe hajiamini bali anataka kuchochea jambo hili kwa kulikuza, huku hata yeye inavyoelekea hajui makosa waliyofanya.

Aonyeshe mfano w kuwa na subira kama kiongozi. Hivi jimboni kwake anafanya nini cha maana lakini? Yapi mapya mtujuze wengine sisi
Kada katika ubora wako!
 
Mungu awalaani wao na vizazi vyao.

Sijui tulidai uhuru wa nini!!!
Salary Slip Ar achunga kumekuwaje siku hizi? Au ndio siasa za upole za Edo hizo? Mbona zamani ujinga kama huu taifa zima lingekuwa kwenye taharuki?
Acha sie tuu, hata hapo Kenya kiongozi wa upinzani hafanyiwi uhuni namna hiyo na vijana wakanywea namna hiyo!
Hata kidogo kuna jambo, sii pendi ccm ila naanza kuchukia jinsi Chadema nayo inavyo anza kuwa mdebwedo
 
Lema naye alisema natoka Next Week alikata miezi mahabusu haya tumekusikia lema

Mnafurahia leo mnaahindwa kuelewa kuna kesho pia.Hata Adam Malima alikuwa kama wewe juzi akalala Mahabusu.

Yona na Mramba walikuwa kama wewe wakalala Keko.

Chenye mwanzo kina mwisho,hata Yesu pamoja na kwamba alikuwa Mwana wa Mungu bado aliishi miaka 33 tu.

Kesho yako hujui,tathmin maneno yako.Chuki,visasi na Ubaguzi havikuongezei hata urefu wa kucha yako.

Chuki,visasi na Ubaguzi haujengi Taifa Bali hulibomoa Taifa vipande vipande.

Nenda kamsikilize JKN alivyoasa kuhusu Chuki,visasi na Ubaguzi. Labda utamuelewa.

Kikubwa CCM ilikuwa n JKN iliyobaki ni Chama Cha Mauaji.
 
Kuandika kuna uwezekano inatia aibu, kwanini hana subira!?

Yeye mwenyewe hajiamini bali anataka kuchochea jambo hili kwa kulikuza, huku hata yeye inavyoelekea hajui makosa waliyofanya.

Aonyeshe mfano w kuwa na subira kama kiongozi. Hivi jimboni kwake anafanya nini cha maana lakini? Yapi mapya mtujuze wengine sisi
Kila mtu atavuna alichopanda!
 
Anaandika Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mhe Godbless J Lema
Kuna uwezakano wa Mayor/ wenzake kuwepo mahabusu mpaka wiki ijayo. Lakini kila mtu ajue atavuna anachopanda . Only time will tell.

My take =
Mmekula rambirambi mmeona haitoshi mmewakamata na watoa rambirambi na kuzuia dhamana zao ni haki yao kisheria

Hakika huu ndio "UONGOZI UNAOACHA ALAMA."

Siku hizi R chuga hata Mbeya tumewazidi.Mmekuwa kama makonokono.Hivi huyo Gambo hamjamtafutia tu kazi ya kufanya.?Hata yule mpumbavu Muongo hakuwakaa muda mrefu hivi.

Dawa za kimasai zimeisha??
 
Tulieni dawa iwaingie ..... hamjajua watu wamekosa nn mnaongea tu humu kupitiliza ....kuweni na akiba ya maneno.
 
Unajiita "Jinga lao" wewe sio mjinga tu bali hujitambui, ni zezeta la mwaka, na huna tofauti na Bashite na mgambo wake wa Arusha. Viongozi wa dini kutoa rambirambi ni siasa? nyambafu wewe.
Viongozi wa kidini chambo tu.
 
Mmekula rambirambi mmeona haitoshi mmewakamata na watoa rambirambi na kuzuia dhamana zao ni haki yao kisheria.
Mna laana nyie

Hivi na wale wenye pesa yao nao wamewekwa Mahabusu?Watakuwa maajabu ya mwaka.Anyway mafuta Mganga hula na wa kwao.Kuna siku Gambo atamtafuta Lema.
 
Back
Top Bottom