Lema keshaondoka Dodoma?

Lema keshaondoka Dodoma?

wewe inabidi uombe kuongezwa kwa posho kutoka buku saba mnazolipwa.unajitahidi kumwaga pumba zako humu.Lema alionesha dhamira yake tu.yawezekana amejadiliana na viongozi wake na kuamua kusonga mbele ifweero,mimi nashangaa jinsi mlivyojazana vilaza humo.
 
Last edited by a moderator:
wewe inabidi uombe kuongezwa kwa posho kutoka buku saba mnazolipwa.unajitahidi kumwaga pumba zako humu.Lema alionesha dhamira yake tu.yawezekana amejadiliana na viongozi wake na kuamua kusonga mbele ifweero,mimi nashangaa jinsi mlivyojazana vilaza humo.

haya ni matokeo ya akili ndogo kuongoza akili kubwa..nyie misukule wa ndio mzee mnageuzwa tu kulingana na upepo unavyovuma. Kwa hiyo alikuwa anatishia nyau?
 
Last edited by a moderator:
Hii ni ''wiki ijayo'' ambayo Lema alitujuza kuwa ataondoka Dodoma,tafadhali aage kuwa keshaondoka🙂

Wewe ni nani hasa? Una maslahi gani na Lema kuondoka dodoma?
 
Buzness man always looks for profit! Labda dili alilokuwa anataka kulifanya (ambalo litamlipa zaidi) bado halijawa tayari so anavuta muda mambo yaende sawa huku akiendelea kula mijihela yake
Hivi huyu si ndio alimwambia zito aache unafiki wa kukataa posho! Yeye leo anataka kuingia mitini THUBUTU
 
mind your own business

Oversimplification of statements requiring facts. Lema mwenyewe alisema "wiki ijayo" anafikiria kuondoka Dodoma. Sasa ni swala la yeye kusema fikira zake za kuondoka zipo au hazipo.
 
Kuna fununu kuwa muda utaongezwa.............subirini tutawajuza.
 
Akiconfirm kuwa hawaongezi muda ndio atasepa.......
 
Wakuu mwenye taarifa naomba anisaidie ili tujue bunge letu la katiba limebaki na wajumbe wangapi?
 
Naomba kufahahamu pia kwanini unatumia id ingine?
 
unapokuta wanaume wamekaa sebuleni wanazungumza wewe unatoka jikoni kupika na kudandia mada utapewa talaka.changia hoja acha ukabila wa kijinga we mla sembe

Wewe itakuwa mchagga na umeshalewa gongo. Si bora ujinywie mbege tu iliyokulea, gongo ina madhara.
 
Back
Top Bottom