Lema keshaondoka Dodoma?

Lema keshaondoka Dodoma?

UKAWA wamenikataza,wameniambia hakuna kutoka hapa mpk kieleweke.kaka yangu Lissu amenipa falsafa ya "winners never quite" nkamuelewa. Makamanda,mimi nipo

Kwani ww unaendeshwa na busara za ukawa? Ulipotangaza kuondoka uliwatarifu ukawa busara pluss mm naona posho bado unaipenda na ww ndio iliehanzisha mada ile ya posho kwani ndio sera yako nyambafu
 
nyote mnaochangia hapa mmekaa kikabila,mmejawa na ushabiki wa hisia badala ya kujenga hoja zenye masiko kwa manufaa ya jamii

Hata ww umejawa na ukabila ndio mana ukaja na coment hio ya kijinga changia mada jina yu unajuwa mkabila tu
 
Kitu cha Arusha noma... unaweza kuaga unaenda ulayakumbe unaenda Matejo
 
UKAWA wanatafuta nini kwenye mkutano mkuu wa CCM TAIFA? LEMA KABANG alisema kuwa kilichopo Dodoma ni mkutano mkuu wa CCM Taifa sasa je naye karudisha kadi yake ya magwanda kwa Lukuvi? Shame on you Lemma shule yako ndogo bunge kama hili waachiwe wakina Lissu, Jussa, Mtikila, Mwandosya n.k wewe Lema ulitakiwa kwenda kuambulia aibu ya mwaka huko Chalinze.
 
Lema, Sugu, Jah People, Maji Marefu, Kilufi, Mr. Zimbabwe, Mbowe nawengineo hilo bunge sio saizi yenu. Mnyika shule ndogo lakini anajua jua vitu kuliko hao wenye ma master shahada
 
Lema, Sugu, Jah People, Maji Marefu, Kilufi, Mr. Zimbabwe, Mbowe nawengineo hilo bunge sio saizi yenu. Mnyika shule ndogo lakini anajua jua vitu kuliko hao wenye ma master shahada
 
Mjumbe wa Bunge la katiba Godbless lema amesitisha uamuzi wa kujitoa ; bada ya kuridhika na mwenendo wa chombo hichobaada ya mashauriano na viongozi wa UKAWA amefikia uamuzi huo
 
Lema, hawezi kuondoka bungeni na posho hamuachie nani.
 
Alitakiwa atafakari kwanza kabla ya kuutangazia umma kuwa ameamua kuondoka Dodoma. Haya mambo ya ninaondoka siondoki ni ubabaishaji wa kisiasa wa kutafuta umaarufu wa bwerere.
 
wewe inabidi uombe kuongezwa kwa posho kutoka buku saba mnazolipwa.unajitahidi kumwaga pumba zako humu.Lema alionesha dhamira yake tu.yawezekana amejadiliana na viongozi wake na kuamua kusonga mbele ifweero,mimi nashangaa jinsi mlivyojazana vilaza humo.

Mkuu ushagonga vile vyombo alivyowaruhusu Babu Majanga nini?? Maana unaongoa kinyume nyume tu hapa...hiyo dhamira kabla
Ya kutuambia sisi kwanini asingejadiliana na
Viongozi wake kisha ndio aje kutuambia?? Na kama kweli alikuwa na dhamira hiyo (ya kuacha laki tatu) hakuna yoyote ambaye angeweza kumzuia...na mtu yoyote aliyejasiri HUSIMAMIA KILE ANACHOKIAMINI
 
Last edited by a moderator:
Lema hawezi kuacha hela. Hata kama ingekuwa ni elfu ishirini kwa siku.
 
Back
Top Bottom