Edward Sambai
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 2,822
- 3,832
Kwani alisema "nitaondoka" au "natarajia kuondoka"? Lugha nayo ikikupiga chenga inakuwa matatizo sana.
teh teh... Mbavu zangu mie!Mchaga akimbie pesa....!! Sijawahi ona mchaga akakimbia pesa na akiondoka tu dom huyo mama yake itakuwa amemzingizia tu mzee lema
nyote mnaochangia hapa mmekaa kikabila,mmejawa na ushabiki wa hisia badala ya kujenga hoja zenye masiko kwa manufaa ya jamii
Ah Mangi ambaye ni Mnec na mfuasi wa lowassa ambaye ni shabiki wa CDM!
Hii ni ''wiki ijayo'' ambayo Lema alitujuza kuwa ataondoka Dodoma,tafadhali aage kuwa keshaondoka🙂
hajaondoka Zile zilikuwa stim za bangi.
Kwani mini alisema angeondoka lini?
'Haondoke', 'wamemshauli' naona mahaba kwa lema yamekuzidi mpaka unaamua kuongea kikwenu
UKAWA wamenikataza,wameniambia hakuna kutoka hapa mpk kieleweke.kaka yangu Lissu amenipa falsafa ya "winners never quite" nkamuelewa. Makamanda,mimi nipo
Lema alitangaza kuwa anaondoka dodoma wiki ijayo, naona wiki zinakatika tu hakuna kinachoendelea...vipi posho zimemnogea? Chezea posho weye?