measkron
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 3,782
- 2,418
Hata mi nlitaka kuuliza hili swali.
Mkuu wanasiasa ni walaghai sana ni Kama zile siku 90 za mafisadi hadi leo kimyaaaaa
Hata mi nlitaka kuuliza hili swali.
Anasubiri baraka za UKAWA huenda ikawa mwisho wa mwezi ujao.
Hii ni ''wiki ijayo'' ambayo Lema alitujuza kuwa ataondoka Dodoma,tafadhali aage kuwa keshaondoka🙂
Lema nipo naye MBUYU WA MJERUMANI BBT VIJIJINI Tunaenda Arusha.
Hii ni ''wiki ijayo'' ambayo Lema alitujuza kuwa ataondoka Dodoma,tafadhali aage kuwa keshaondoka🙂
lema nakushauri upambane mpaka mwisho,tatizo hulikimbii bali unalitatua,unatuhubiria kila siku kwamba uoga ni dhambi ni mwiko kwako.dhihirisha sasa
Hii ni ''wiki ijayo'' ambayo Lema alitujuza kuwa ataondoka Dodoma,tafadhali aage kuwa keshaondoka🙂
Alikua anatingisha kiberiti akizani atabembelezwa kumbe holaaaa.......