Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,190
- 128,243
Kama ana uwezo, mkaribisheni humu ndani tuone na tupime uwezo wake. Mbona wenzake wanaojiamini wapo humu ndani?
Kumbe jibu unalo...ungetumia usemi alioutumia yle kilaza "ni upepo tu, utapita tu....."
Huyo mungu wenu atakuwa na walakini!
Anaiba tu wake za watu..Mungu wetu hapokei rushwa bwana green guard,
Vipi unamchukia Mungu wetu aliye juu???
Siasa na sala wapi na wapi?... Nguvu za Sala na Kufunga BILA UNAFIKI ndio kama hivo; na hadi hapo bado ni mwanzo tu!!!
Kumbe jibu unalo...
kwa hayo yote uliyosema bado lema kawaacha mbali sana kielimu wabunge wengi wa ccmLema IQ yake ipo chini sana, elimu yake nayo mgogoro. Hana uwezo wa kujadili mambo na GT
Kumbe jibu unalo...
Wabunge wote wa chadema wasiojisajiri JF kwa majina yao nina mashaka nao!
why?
Mkuu William aka baharia, alipokutana na Nasary bungeni alimuhakikishia kuwa yeye ni active member JF, lakini cha ajabu
hakuna ID ya nasary tunaoijua.
Tabia hii imepelekea kuanzishwa post za kujisifia hasa za lema na nassary, Mimi natilia shaka huenda ni..........
anyway just guessing .................
Siasa na sala wapi na wapi?
Yupo ila anaangalia hoja za kujibu.....Kama ana uwezo, mkaribisheni humu ndani tuone na tupime uwezo wake. Mbona wenzake wanaojiamini wapo humu ndani?
Hana uwezo wa kujadili na GT kama yupi kwa mfano, wewe usijihesabu kabisa.Lema IQ yake ipo chini sana, elimu yake nayo mgogoro. Hana uwezo wa kujadili mambo na GT