Lema awasha moto tena chuo cha uhasibu

Propaganda, Zittophobiasis, wivu, majungu tu. We umewahi kufanya nini?
Haina maana kama hujawahi kufanya chochote kwenye taifa hili au kwenye chama chake asihoji....kwa nafasi ya zitto ananafasi kubwa sana kufanya kazi za kichama....labda mimi sijui majukumu aliyo pewa na chama chake ila ningependa aongeze kasi kwenye shughuli za kichama...kuliko sasa maana naona kama vile kaziweka pembeni ninavyo muona Shibunda
 
That is a dream of a politically blind person.
We can't allow a former criminal to be our president.
Never in this lovely country of ours...PERIOD!

U-criminal wa Lema hatuna ushahidi nao Ila
Tuna ushahidi wa Economic and Social Development Criminals walioko madarakani na kuitumbukiza nchi katika umaskini na mgao wa umeme.

Hebu kama una ujasiri nitajie viongozi tawala wa nchi hii ambaye siyo criminal kwa maana niliyo itowa hapo juu.

Weka Lijamu kwenye akili na comment zako mkuu usiporomoshe tu maneno kama mfereji wa maji taka unapozibuliwa wakati wa masika.
 
Lema is going strong and getting better.

I think he's dedicated, determined and an honest person. He seems to operate above the usual status quo and shells that so covered the Tz politics.

Go! Go! Go! God bless Lema!
 
ccm wao wameazia sekondari ambako kuna wadogo zetu.

yaani mdogo wangu akiwa ccm naacha kumlipia ada!
 
Endelezeza mapambano Lema, hakuna kulala, ili nchi ya Tanzania ibadilike vijana wenye nia njema ya kuikomboa nchi wanatakiwa wajitokeze kwa wingi kummuunga mkono Lema
 
Haina maana kama hujawahi kufanya chochote kwenye taifa hili au kwenye chama chake asihoji....kwa nafasi ya zitto ananafasi kubwa sana kufanya kazi za kichama....labda mimi sijui majukumu aliyo pewa na chama chake ila ningependa aongeze kasi kwenye shughuli za kichama...kuliko sasa maana naona kama vile kaziweka pembeni ninavyo muona Shibunda

Tuna uhakika kuwa Zitto ni mwanachama wa CHADEMA. Tuna uhakika gani mnaomponda Zitto humu ni wanachama wa CHADEMA? Tutajuaje kama hamtumiki na nyama hasimu vya CHADEMA kumuandama Zitto kama kiongozi wa chama? Kama huna uhakika chama kimempa majukumu gani una haki gani ya kumhukumu kuwa hajafanya majukumu ya chama? Ni kwa nini utendaji mzuri wa Lemma uonekane unachukua nafasi ya Zitto wakati pale CHADEMA pana nafasi nyingi za uongozi, hao wengine wamefanya nini zaidi ya Zitto?

Hii thread ni ya kuripoti kazi nzuri aliyoifanya na anayoendelea kuifanya Lemma, na tunampongeza kwa hilo. Kuna sababu gani ya kuanza kumjadili Zitto hapa? Kwa nini tusimjadili Mnyika, au Mbowe, au Slaa au Lissu au Arfi, au viongozi wengine wa chama tuanze kumjadili Zitto katika threads ambazo hazimhusu.

Mi naendelea kusema kuwa wengi wanamponda Zitto humu wana chuki binafsi na CHADEMA, au na Zitto mwenyewe, na zaid zaid wanamuona kama potential threat ya interest zao za kisiasa...
 
Mbunge wa ARUSHA MJINI mh.Godbless lema baada ya safari za nzega na igunga, ametua jiji arusha na kuwasha moto wa pekee kwa wanafunzi wa chuo cha uhasibu kilichopo njiro jijini humo.

ufunguzi wa tawi hilo ulifana kweli kweli pale wanafunzi wapatao 1243 kupokea kadi za CHADEMA na wanafunzi zaidi ya 90 kurudisha kadi za CCM na kuangusha kilio huku wakimwambia LEMA tumetubu kwakufanya dhambi kubwa sana kuwa CCM sasa leo tumeamua kuondoka rasmi kwenye dhambi hizo na tunatumaini mungu atasikia ombi letu na kutu samehe.

naye lema akawaambia wanafunzi hawo yakuwa sasa ni wakati wa mabadiliko na kwamba kazi ya msingi ya wasomi si kusoma ilikupata ajira bali kuelewa maarifa ili kuisadia jamii.

u gotta luv this chap!
 
Tuna uhakika kuwa Zitto ni mwanachama wa CHADEMA. Tuna uhakika gani mnaomponda Zitto humu ni wanachama wa CHADEMA? Tutajuaje kama hamtumiki na nyama hasimu vya CHADEMA kumuandama Zitto kama kiongozi wa chama? Kama huna uhakika chama kimempa majukumu gani una haki gani ya kumhukumu kuwa hajafanya majukumu ya chama? Ni kwa nini utendaji mzuri wa Lemma uonekane unachukua nafasi ya Zitto wakati pale CHADEMA pana nafasi nyingi za uongozi, hao wengine wamefanya nini zaidi ya Zitto?

Hii thread ni ya kuripoti kazi nzuri aliyoifanya na anayoendelea kuifanya Lemma, na tunampongeza kwa hilo. Kuna sababu gani ya kuanza kumjadili Zitto hapa? Kwa nini tusimjadili Mnyika, au Mbowe, au Slaa au Lissu au Arfi, au viongozi wengine wa chama tuanze kumjadili Zitto katika threads ambazo hazimhusu.

Mi naendelea kusema kuwa wengi wanamponda Zitto humu wana chuki binafsi na CHADEMA, au na Zitto mwenyewe, na zaid zaid wanamuona kama potential threat ya interest zao za kisiasa...
Mkuu sina haja ya kuthibitisha uanachama wangu wa CDM kwako...hata hivyo huwa siingii kwenye mkumbo wa kumshambulia Zitto kwasababu natambua kazi zake na mchango wake kwenye Chama na ili kuthibitisha hilo niwekee post niliyo mshambulia Zitto....na sijasema hajafanya majukuma ya chama chake nisome vizuri kwa kumbukumbu zangu: siku ya maandamano ya Arusha yaliyopelekea viongozi kwajuu kukamatwa Zitto alikuwa kwenye uchanguzi wa meya Mwanza na kulipo fanyika maandamano ya kanda ya ziwa alikuwa anauguliwa na mama yake....Nilicho kisema ningependa aongeze kasi
 
Nampongeza sana kamanda lema.na mimi nilikuwa mmoja wa vijana tuliochukua kadi jana.nawaomba wasomi wenzangu tumsaidie lema kulikomboa hili taifa kutoka kwenye mikono ya mafisadi.
 
Zitto hajawahi kufanya kazi ya kuimarisha chama bali kujiimarisha yeye ndani ya chama kwa kuwawezesha mademu na vibaraka wake ili wamsapoti katika kuua chama
Hata kama chuki, basi haki yake mpeni. Zile kampeni alizokuwa akipiga zilikuwa kwa manufaa ya nani. Uzuri wa Zitto kwakwe yeye manufaa si kufungua matawi na kugawa kadi bali ni kupigania maendeleo ya Watanzania wote. Na style yake anayoitumia kwa namna ilivyo unique ni vigumu saana kumwangusha. Yeye hafagilii siasa za majungu na chuki.
 
Mrema is a man and a half! Kumwambia Waziri Mkuu kwamba ni mwongo si mchezo.
 
That is a dream of a politically blind person.
We can't allow a former criminal to be our president.
Never in this lovely country of ours...PERIOD!

kwenye red hapo juu
-Kishongo wewe ni mdhaifi kwenye lugha ya kizungu andika kwa kiswahili.
-we= wewe na nani mmeamua na lini?
-former criminal= mahakama ipi na kesi namba ngapi na lini?
-lovely country= kwa vigezo vipi ulivyotumia.
 
R'Chuga wote makamanda Kama hamuamini muulizeni Zuberi na geshi lake.Hongera sn Lema Mungu akupe nguvu na akulinde na ipo siku Zuberi na geshi lake watakupigia saluti,ingawa hivi karibuni alikuambia siku zako zinahesabika wakati tunatoka mahakani.
 
Inashangaza sana, Post yamhusu Lema, watu wanashambuliana kumhusu Zitto.
Hivi nyumba hii tunayoijenga halafu tuna weaken nguzo moja, itasimama kweli? Mbona sekreterieti ya CDM haijwahi kutamka hadharani kwamba Zitto hafai au anakihujumu chama? Binafsi sijaona huo ubaya wa Zitto mpaka kuwepo ushahidi wa kutosha kuthibitisha madai ya wanaomshambulia humu ndani.
Tofauti za kisera na kimtizamo katika vyama ni kawaida na ndiyo demokrasia komavu unless turudi kule kwenye ZIDUMU FIKRA ZA MWENYEKITI.
 
lema 1.JPG

Lema (wa tatu kushoto) akipokea moja kati kadi ya ccm iliyorudishwa kutoka kwa mmoja wa wanafunzi wengi wa chuo cha uhasibu arusha waliamua kujiunga chadema jana. Wa pili kulia ni M'kiti wa vijana chadema wilaya ya arumeru ambaye pia alikuwa mgombea ubunge katika jimbo la arumeru mash. Zaidi ya wanachama wapya 350 walikabidhiwa kadi za chadema. Songeni mbele makamanda, big up kamanda lema.
 
Back
Top Bottom