Lema awasha moto tena chuo cha uhasibu

Kama CDM kingekuwa chama cha siasa kingeongozwa na Mh. Zitto kama mwenyekiti wake, kwa sababu:
  1. An elimu ya kutosha (Masters degree)
  2. Kijana mwenye nguvu (30+ years)
  3. Ana Caliber
  4. Ana ufuasi pande zote za nchi
  5. Hakurupuki na mstahamilivu (Angalia anavyopigwa vita na wenzake)
  6. Hana ukanda wala udini
Lakini kwa sababu chadema ni kampuni ya watu binafsi, inaweza kuongozwa na Mbowe, Lema, ambao:
  1. Elimu zao zina mashaka
  2. Family members wa kampuni owners
  3. Hawana mvuto wa kisiasa
  4. Full mihasira, jazba na tafakari finyu
  5. Wanendeleza ukanda na udini!
  6. ------------------------

Mbona unamaneno kama sophia simba kama siyo Khadija Kopa
 
pumbavu mkubwa wewe, lema alikua criminal gani?? Alifanya makosa gani?? Na hata kama alicommit hiyo crime, look at obama today, he waz formally a drug addict which is a crime, but now as clean as he is, he is in the world's richest country's white house,so hata kama lema alicommit hiizo crimes, ov which still nina mashaka hakuzicomitt unless ulete ushahidi, lema could still be a very successful prezident of tanzania.

Just a quick question,when did Obama admit that he was a drug addict?Sometimes tusiseme tu ili mradi tumesema.I believe he admitted that he smoked a joint sometimes back when he was growing up but not to the point of being an addict.Look at your facts right,usitudanganye hapa jukwaani.As for the other part of your post,I totally agree with you.
 
Mbunge wa ARUSHA MJINI mh Godbless lema baada ya safari za Nzega na Igunga, ametua jijini Arusha na kuwasha moto wa pekee kwa wanafunzi wa chuo cha uhasibu kilichopo Njiro jijini humo.

Ufunguzi wa tawi hilo ulifana kweli kweli pale wanafunzi wapatao 1243 kupokea kadi za CHADEMA na wanafunzi zaidi ya 90 kurudisha kadi za CCM na kuangusha kilio huku wakimwambia LEMA tumetubu kwakufanya dhambi kubwa sana kuwa CCM sasa leo tumeamua kuondoka rasmi kwenye dhambi hizo na tunatumaini Mungu atasikia ombi letu na kutusamehe.

Naye lema akawaambia wanafunzi hawo yakuwa sasa ni wakati wa mabadiliko na kwamba kazi ya msingi ya wasomi si kusoma ilikupata ajira bali kuelewa maarifa ili kuisadia jamii.

Picha pliz mkuu,
 
mkuu kama haya ni ya kweli kikwete inakuwa je? kwanza kasamehe wezi ikulu, pili ni fisadi na rafiki wa walioifilisi nchi, au hiyo sio criminal kwako, ni hayo tu
That is a dream of a politically blind person.
We can't allow a former criminal to be our president.
Never in this lovely country of ours...PERIOD!
 
lakini hata wewe unayepinga mzee huna hakika, yawezekana na wewe umesoma taarifa au tafiti zilizopikwa!!!
Just a quick question,when did Obama admit that he was a drug addict?Sometimes tusiseme tu ili mradi tumesema.I believe he admitted that he smoked a joint sometimes back when he was growing up but not to the point of being an addict.Look at your facts right,usitudanganye hapa jukwaani.As for the other part of your post,I totally agree with you.
 
kwenye nyekundu uongozi sio ujana wala uzee, kwenye blue vipi DR SLAA, AU MAPFOR WALIOJAA CHADEMA,
MKUU HII HOJA YAKO INATOA MOSHI na haya mambo ya ukanda ni hoja za ccm, mbona kikwete ni ****** lakini anashilikiana na ROSTAM Kutumaliza, sisi tunataka kiongozi anaye pimika na kusiwe na walakini , sisemi zitto haifa, ila sababu zako sio vigezo vya kumfanya afae hazina msingi
Kama CDM kingekuwa chama cha siasa kingeongozwa na Mh. Zitto kama mwenyekiti wake, kwa sababu:
  1. An elimu ya kutosha (Masters degree)
    [*]Kijana mwenye nguvu (30+ years)
  2. Ana Caliber
  3. Ana ufuasi pande zote za nchi
  4. Hakurupuki na mstahamilivu (Angalia anavyopigwa vita na wenzake)
  5. Hana ukanda wala udini
Lakini kwa sababu chadema ni kampuni ya watu binafsi, inaweza kuongozwa na Mbowe, Lema, ambao:
  1. Elimu zao zina mashaka
  2. Family members wa kampuni owners
  3. Hawana mvuto wa kisiasa
  4. Full mihasira, jazba na tafakari finyu
  5. Wanendeleza ukanda na udini!
  6. ------------------------
 
Mwendo Mdundo. Hatulali mpaka Kieleweke.
Tunataka mpaka Januali Makamba arudishe kadi ya CCM na kukabidhiwa KAdi ya CHAMA TAWALA (CHADEMA).
 
Hongera sana Kamanda Godbless Lema na ongeza kasi kuikomboa nchi hii....na wabunge wengi wa CDM naomba muongeze juhudi kuhamasisha ili ifikapo 2015...kazi iwe rahisi kama kumsukuma mlevi, ukizingatia na chama ha Magamba kina weweseka.....

Ngoja nisikilize ujumbe kwanza


oyaaaaaa mbona ipo nusu,tupatieni cd nzima ili nasi tujue nini kiliendelea
 
Last edited by a moderator:
pumbavu mkubwa wewe, lema alikua criminal gani?? Alifanya makosa gani?? Na hata kama alicommit hiyo crime, look at obama today, he waz formally a drug addict which is a crime, but now as clean as he is, he is in the world's richest country's white house,so hata kama lema alicommit hiizo crimes, ov which still nina mashaka hakuzicomitt unless ulete ushahidi, lema could still be a very successful prezident of tanzania.
Obama hajawahi kuwa drug addict. Get your facts right kabla ya kuongea
 
Nakubaliana sana na wewe. Hapa JF kuna watu wanamponda Zitto bila sababu ya msingi wakisahau kuwa yeye ni mwanasiasa anayekubalika sana na wanachama na viongozi wenzake hadi anapewa nafasi za juu za uongozi wa chama. Pendeni au msipendi Zitto is a force to reckon with hata kama kuna mambo mengine mnadhani anakosea. Chadema iko hapo ilipo kwa sababu ya michango chanya ya watu kama Zitto. Itapendeza sana kama tutaongelea topic iliyopo bila kumuingiza Zitto na kuharibu utamu wa thread yenyewe
Tuna uhakika kuwa Zitto ni mwanachama wa CHADEMA. Tuna uhakika gani mnaomponda Zitto humu ni wanachama wa CHADEMA? Tutajuaje kama hamtumiki na nyama hasimu vya CHADEMA kumuandama Zitto kama kiongozi wa chama? Kama huna uhakika chama kimempa majukumu gani una haki gani ya kumhukumu kuwa hajafanya majukumu ya chama? Ni kwa nini utendaji mzuri wa Lemma uonekane unachukua nafasi ya Zitto wakati pale CHADEMA pana nafasi nyingi za uongozi, hao wengine wamefanya nini zaidi ya Zitto?

Hii thread ni ya kuripoti kazi nzuri aliyoifanya na anayoendelea kuifanya Lemma, na tunampongeza kwa hilo. Kuna sababu gani ya kuanza kumjadili Zitto hapa? Kwa nini tusimjadili Mnyika, au Mbowe, au Slaa au Lissu au Arfi, au viongozi wengine wa chama tuanze kumjadili Zitto katika threads ambazo hazimhusu.

Mi naendelea kusema kuwa wengi wanamponda Zitto humu wana chuki binafsi na CHADEMA, au na Zitto mwenyewe, na zaid zaid wanamuona kama potential threat ya interest zao za kisiasa...
 
Naamini kwa umakini walionao wana jf wataangalia ujumbe alioutoa Lema kwa wasomi wa chuo cha uhasibu badala ya kukazania majungu. CDM is a very focused political party which i strongly believed once kikichukua dola watanzania watajutia kwann wamechelewa kukiamini. This is the truth whch is clearly open to ccm's eyes that's why is struggling to hide it frm people
 
Bila shaka Lema amedhihirisha kwa matendo kuwa hakugombea kwa bahati mbaya, alijua anachokwenda kuwafanyia wana A Town. Nimerecall baadhi tu ya mambo e.g. kitendo cha kuwasomesha wanafunzi wasiojiweza zaidi ya 400 na kuandaa mpango endelevu wa kuwasaidia na mengine mengi tuu. Pia wananchi wamethibitisha hilo kwa vitendo. Majimbo mengine vipi mbona kimya? Iringa sisikii kitu, Mbulu nako kimya, mwanza pia sijaona indicator ya akina Wenje na mwenzake jirani yake!!! Msipoangalia 2015 upepo utabadilika
 
Swali,

Kuna mpango gani wa kuimarisha matawi haya yanayofunguliwa? Haitoshi kuwapa tu kani za chama je wanajua CHADEMA inasimamia nini? Nadhani kuna umuhimu wa kuaanda some kind of orientation for new wanachama. Juzi CCM wameshtuka baada ya kugundua wanachama wa papo kwa papo can not be relied on! Sina shaka na hamasa ya vijana hawa ila sharti wapigwe msasa kuwaimarisha wasiyumbishwe na upepo wa kisiasa.

La pili hawa wanavitambulisho vya kupigia kura? Nini kinafanyika kuwahamasisha ili zoezi litakaoanza la kujiandikisha wote wajiandikishe? Nauliza kwa sababu nimebahatika kukutana na mmoja wa vijana hawa ana kadi ya CDM ila hana kitambulisho cha mpiga kura.

Kura hazipigwi kwa kadi za vyama!
 
Kama CDM kingekuwa chama cha siasa kingeongozwa na Mh. Zitto kama mwenyekiti wake, kwa sababu:
  1. An elimu ya kutosha (Masters degree)
  2. Kijana mwenye nguvu (30+ years)
  3. Ana Caliber
  4. Ana ufuasi pande zote za nchi
  5. Hakurupuki na mstahamilivu (Angalia anavyopigwa vita na wenzake)
  6. Hana ukanda wala udini
Lakini kwa sababu chadema ni kampuni ya watu binafsi, inaweza kuongozwa na Mbowe, Lema, ambao:
  1. Elimu zao zina mashaka
  2. Family members wa kampuni owners
  3. Hawana mvuto wa kisiasa
  4. Full mihasira, jazba na tafakari finyu
  5. Wanendeleza ukanda na udini!
  6. ------------------------
Haya mashairi ungemuuzia cpt. Komba au Hadja Kopa ungepata mlo kamili kuliko kuyaweka kwa Great thinkers wa JF.
 
Now my head is spinning. Help!

Nadhani hapo unapotoka Gurudumu, Zitto amesadia sana kwenye kampeni za kuongeza wabunge wa chadema kama vicent Nyerere, Prof KAHIGI, Tarime, Wenje Mwanza na wabunge wengine kama JJ MNYIKA na wengine ambao kura hazikutosha, nakubali mchango wa Lema kujenga chama na kujitolea kwa hali na mali lakini kila mbunge anamchango wake kwenye chama. Hivyo tungempa pendekezo Zitto aunde task force ya wabunge watano wa Chadema pamoja na Prof Safari kufanya operation ZNZ, Mikoa ya kusini hususani Lindi na Mtwara, Pwani na Tanga.

Katibu mkuu wa chadema awape jukumu akina zitto wamletee mapendekezo jinsi ya chama kujiimarisha na kupata support ya kanda hizo ambayo ni muhimu sana kama CHADEMA wana ndoto za kuchukua dola na kuunda serikari 2015.

Chadema kiwatumie vijana kama Zitto, sidhani kama chama kitawaomba watakataa.
 
Back
Top Bottom