[COLOR=#B22222 said:Kagera ambako atapokea magamba ktk majimbo mbali mbali[/COLOR]
hee!yaani kumbe magamba wameamua kukimbilia chadema baada ya kuona ccm sasa hakukaliki?kwa hiyo lema ndo anaenda kuyapokeka huko kagera e! ok.Lema awaliza Nccr Manyara , Mjumbe wa Kamati kuu na Naibu katibu mkuu bara chama cha Nccr mageuzi Bwana Laurent Sarumbu Tara ambaye pia ni diwani wa miaka yote kupitia Nccr toka Mageuzi yalipoanza na aliyekuwa Mgombea ubunge ktk jimbo la Babati Vijijini na kushindwa kwa kuibiwa kura , leo tarehe 17 ameamua kuachia nafasi zake zote ukiwemo nafasi ya udiwani ktk kata ya Bashnet nakupokelewa na Mjumbe wa kamati kuu katika mkutano wa waandishi habari mjini Babati na kujiunga rasmi na makamanda wa Cdm na sasa Kamada lema yuko njiani kuelekea Kagera ambako atapokea magamba ktk majimbo mbali mbali
vyama vingine si vikoviko tu,sasa wewe ccm unataka iseme itashindwa uchaguzi na wakati wanajua watapatata kura za kutoshelzeza kuwapa miaka mingine mitano.Wakati vyama vyoooooooooooooooote vimetambua CHADEMA inakwenda kuongoza nchi, CCM hawajatambua.Naamini muda si mrefu watatambua vizuri. SUBILINI TU
Breaking News za Lema naona kila mpambe anakuja na yake.
unafiki wa chadema utauweza! kina marando wanawatibua mafisadi bungeni,serikali ikiwatetea wanaiponda kweli serikali ikiamua kuwapeleka mahakamani wanaenda kuwatetea kama mawakili.wanawafufua magamba ndani ya ccm,magamba yakitoka wanayachukua.chadema waache kama walivyo kile ni chama kikubwa.Na ninyi mnapokea magamba yaliyotemwa mmekwisha!!!!!
Crashwise mwambie kamanda Lema ajitahidi kupata muda wakati anapokwenda Kagera ama wakati anaporudi apite na huku kwetu Mugumu angalau wananchi wampe baraka zao msimu huu wa mwisho wa mwaka tunapotahiri vijana wetu, pia tunatoa mibaraka kwa watu maalum wazalendo wa kweli.
....sasa Kamanda Lema yuko njiani kuelekea Kagera ambako atapokea magamba katika majimbo mbalimbali..
Crashwise mwambie kamanda Lema ajitahidi kupata muda wakati anapokwenda Kagera ama wakati anaporudi apite na huku kwetu Mugumu angalau wananchi wampe baraka zao msimu huu wa mwisho wa mwaka tunapotahiri vijana wetu, pia tunatoa mibaraka kwa watu maalum wazalendo wa kweli.