Kiongozi hicho ni kimuhemuhe kinachotokana na furaha wanayoipata watu kutokana na kuzidi kuimarika kwa ngome na safu ya ukombozi. No stone will be left unturned had kufika 2015, that is to say, hakuna kijiji ambacho hakitaguswa na m4c had kufika 2015 kabla ya uchaguzi. So we hope campaigns za uchaguzi 2015 zitakuwa ni kukumbushia tu, yaani itakuwa ni jino moja tu.Breaking News za Lema naona kila mpambe anakuja na yake.
Mkuu wasiliana nae...Crashwise mwambie kamanda Lema ajitahidi kupata muda wakati anapokwenda Kagera ama wakati anaporudi apite na huku kwetu Mugumu angalau wananchi wampe baraka zao msimu huu wa mwisho wa mwaka tunapotahiri vijana wetu, pia tunatoa mibaraka kwa watu maalum wazalendo wa kweli.
Breaking News za Lema naona kila mpambe anakuja na yake.
Unajua watu wanaoona mbali (wanaotumia predictive models in thinking) ni wepesi sana kwenye kufanya right decisions. Badala ya kutoka mapema kwenye chama kinachoelekea kufa na kilichopoteza muelekeo, watu wanang'ang'ana hadi wafe nacho halafu baadaye ndio waanze kuhamia vyama vingine. Wapo waroho ndani ya CCM (Sitta being one of them) wanasubiri muda wa uchaguzi ufike, Bunge livyunjwe, wawe wamekula masurufu yooote ya Bunge ndani ya CCM ndipo watangaze kuhamia CDM, tukiwasIkia watu wa aina hii this time tutawaangalia kwa microscopic eyes mana hao ni wachumia tumbo, hawapo kwa ajili ya interests za chama wala nchi bali ni kwa interests za familia zao. Shibuda ni mmoja wa watu hao.Nasikia huyu jamaa alishinda ubunge 2010 kupitia nccr na walimchakachua magamba. Hivo cdm wameula 2015 kwa jimbo hilo.
Huyu Crashwise ndo *****mwenyewe.Ni Ana jisifia tu mwenyewe
Naibu katibu mkuu Bara chama cha NCCR Bwana Laurent Sarumbu Tara ambaye pia ni diwani wa miaka yote kupitia NCCR toka mageuzi yalipoanza na aliyekuwa mgombea ubunge katika jimbo la Babati Vijijini na kushindwa kwa kuibiwa kura, leo tarehe 17.12.2012 ameamua kuachia nafasi zake zote ikiwemo nafasi ya udiwani katika kata ya Bashnet na kupokelewa na mjumbe wa kamati kuu katika mkutano wa waandishi rasmi na makamanda wa CHADEMA na sasa Kamanda Lema yuko njiani kuelekea Kagera ambako atapokea magamba katika majimbo mbalimbali..
Mapambano yanaendelea hakuna kulala mapaka mafisadi, majangili, wauwaji walale
=========
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/240231-hatima-ya-mbunge-wa-babati-ccm-leo.html
kwa upepo huu ccm watabaki mafisadi tu
kwani wameachana ni ule mpango wa kumshikisha magari ya wizi kwa kuwatumia usalama wa kikwete aka mzee wa suti...
Lema ndiyo kamvua udiwani.