Tara alishindwa kwa kura chache mno na mgombea wa CCM Jitu Vrajlal Son(32,777 vs 31,635);Kwa nguvu hii aliyonayo kwenye siasa za Babati angeingia chama chochote kile au hata angebaki NCCR angekuwa na nafasi kuwa zaidi kuchukua jimbo uchaguzi ujao!
Nice move CHADEMA maana likely mmejiongezea Jimbo la uchaguzi 2015!
NB>Huyu Mbunge wa Jimbo la Babati-CCM ni mhindi?
Naibu katibu mkuu Bara chama cha NCCR Bwana Laurent Sarumbu Tara ambaye pia ni diwani wa miaka yote kupitia NCCR toka mageuzi yalipoanza na aliyekuwa mgombea ubunge katika jimbo la Babati Vijijini na kushindwa kwa kuibiwa kura, leo tarehe 17.12.2012 ameamua kuachia nafasi zake zote ikiwemo nafasi ya udiwani katika kata ya Bashnet na kupokelewa na mjumbe wa kamati kuu katika mkutano wa waandishi rasmi na makamanda wa CHADEMA na sasa Kamanda Lema yuko njiani kuelekea Kagera ambako atapokea magamba katika majimbo mbalimbali..
Mapambano yanaendelea hakuna kulala mapaka mafisadi, majangili, wauwaji walale
=========
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/240231-hatima-ya-mbunge-wa-babati-ccm-leo.html
Tunatafuta kondoo waliopetea tuwarudishe zizini.!Na ninyi mnapokea magamba yaliyotemwa mmekwisha!!!!!
Lema ndiyo kamvua udiwani.
Kama huna cha kuandika sio lazima uandike!!!
Au malipo nikwa maandshi ya aina yoyote?
Tara alishindwa kwa kura chache mno na mgombea wa CCM Jitu Vrajlal Son(32,777 vs 31,635);Kwa nguvu hii aliyonayo kwenye siasa za Babati angeingia chama chochote kile au hata angebaki NCCR angekuwa na nafasi kuwa zaidi kuchukua jimbo uchaguzi ujao!
Nice move CHADEMA maana likely mmejiongezea Jimbo la uchaguzi 2015!
NB>Huyu Mbunge wa Jimbo la Babati-CCM ni mhindi?
hebu kamanda achana na hicho kiazi,kisikuchukulie mda wako.......
Breaking News za Lema naona kila mpambe anakuja na yake.
Breaking News za Lema naona kila mpambe anakuja na yake.