Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
Kwan amani ya tanzania kuna aliyeileta?? au kuna anayeilinda??Kuna vitu huwa mnavi create ambavyo ni vya kijinga na wala havijengi. Hiki ulichokiandika ni ujinga. Kwa hiyo katika tukio zima la kusimikwa kwa askofu lililoendeshwa siku nzima hicho ndicho ulichoona cha maana kukiandika. Amani iliyohubiriwa pale wewe umeona ni kitu kidogo.
Hivi ameshika mikono yako au ndio anakununulia bando mpaka ushindwe na wewe kuanzisha uzi wa hiyo Amani iliyohubiriwa?Kuna vitu huwa mnavi create ambavyo ni vya kijinga na wala havijengi. Hiki ulichokiandika ni ujinga. Kwa hiyo katika tukio zima la kusimikwa kwa askofu lililoendeshwa siku nzima hicho ndicho ulichoona cha maana kukiandika. Amani iliyohubiriwa pale wewe umeona ni kitu kidogo.
Andika wewe unavyoona ni vizuri vilivyotokeaz mwenzako yeye kaandika hicho, wewe umeshuhudia nini? Acha kulazimisha viandikwe unavyotaka.Kuna vitu huwa mnavi create ambavyo ni vya kijinga na wala havijengi. Hiki ulichokiandika ni ujinga. Kwa hiyo katika tukio zima la kusimikwa kwa askofu lililoendeshwa siku nzima hicho ndicho ulichoona cha maana kukiandika. Amani iliyohubiriwa pale wewe umeona ni kitu kidogo.
Yes mfalme lemaHivi kumbe Tanzania kuna wafalme
Huu ushauri CCM hawataki kuusikia .Tukitegemea polisi tutashindwa - Kikwete