Lema athibitishwa kuwa mfalme wa Arusha leo mbele ya Rais Magufuli hadi Gambo kaona aibu kumtambulisha

Hustahili hata ku-comment jF kwa sababu ume-join juzi, tena umetumwa na lumumba ili muweke pumba zenu hapa jF, nyambafu
Hahahhhhha. Naona umejimilikisha mtandao ndugu. Hongera sana. Ukiendelea kuwa na mtazamo huo hautaleta mabadiliko yoyote yale. Kila siku utaendelea kuwa bendera tu. Jiongeze ndugu.
 
Back
Top Bottom