Lema athibitishwa kuwa mfalme wa Arusha leo mbele ya Rais Magufuli hadi Gambo kaona aibu kumtambulisha

Kuna vitu huwa mnavi create ambavyo ni vya kijinga na wala havijengi. Hiki ulichokiandika ni ujinga. Kwa hiyo katika tukio zima la kusimikwa kwa askofu lililoendeshwa siku nzima hicho ndicho ulichoona cha maana kukiandika. Amani iliyohubiriwa pale wewe umeona ni kitu kidogo.
Inawezekana wewe uwezo wa kutafsiri matukio ni mdogo.

Tukio lile kwa msomi mwenye upeo mpana anaweza kutoka na tafsiri nyingi. Kwa hiyo yawezekana matukio mengine yote ni ya kawaida ila lile halikuwa la kawaida.

Wananchi kumshangilia sana Lema, kuna kitu wanataka kumweleza Rais japo hawakupewa nafasi ya kuongea. Nafasi ndogo waliyopewa, waliamua kumfikisha ujumbe Rais. Na Rais kama ni mtu anayependa kusoma hisia za watu, ujumbe wao atakuwa ameupata ila wewe kwa bahati mbaya umeshindwa kuelewa uzito wa ujumbe wa wananchi kwa Rais.
 
Awamu ya Tano badala ya viwanda wamejikita kudidimiza Demokrasia wanajua Vyama vya upinzani vikiwa imara vitawazui kupiga Dili za 10% kwenye miladi na manunuzi mbali ya kitaifa kupitia pesa za walipa kodi kule Hazina, pesa inayotumika kudhoofisha upinzani ni pesa nyingi sana ni pesa ambazo zingeweza kujenga Hosptal za rufaa kila mkoa na kuajiri madaktari toka India na wagonjwa wote wakatibiwa nchini pasipo kupelekwa nje, pia Nchi Jiran wangekuja kutibiwa Tanzania na kuingiza pesa za kigeni kuongeza pato la Taifa.
 
Ulimsikia mwenyekiti wa chama cha wamiliki wa makampuni ya tours arusha alichosema?? Kwamba kwa sasa arusha ni mahali palipotulia hata wao hawawapitishi wageni njia za porini kwa kuhofia maandamano ambayo yalichangia kuharibu biashara ya utalii arusha.
 
Vipi bulldozer nae hawakumshangilia kwa vifijo na vigele gele kama lema!!
 
Ulimsikia mwenyekiti wa chama cha wamiliki wa makampuni ya tours arusha alichosema?? Kwamba kwa sasa arusha ni mahali palipotulia hata wao hawawapitishi wageni njia za porini kwa kuhofia maandamano ambayo yalichangia kuharibu biashara ya utalii arusha.
Alisema pia kwa sasa wana upungufu wa watalii wangapi kuanzia 2015?, ameongelea pia kuhusu vibali vya kufanya gemu vitatoka lini?, amesema pia kuhusu kufungwa na kuuzwa kwa hoteli za kitalii na hii ni Tz kwa upana wake?
 
Back
Top Bottom