Lema athibitishwa kuwa mfalme wa Arusha leo mbele ya Rais Magufuli hadi Gambo kaona aibu kumtambulisha

TANZANIA UFALME ULIONDOLEWA NA NYERERE WALA HAKUNA KIONGOZI MALAIKA HAYO NI MANENO YA WANA CHADEMA WIVU TU KAWASHINDA UCHAGUZI WANATAFUTA KILA NJIA ASIONGOZE VIZURI LAKINI KISHAWAJUA .
 
Kilichoshangiliwa ni Ile irony behind utamburisho WA lema,kwamba ni "rafiki yake"
 
huu uhuni wa kununua wpinzani cha waendelee lkn watz sio wajinga,,,,,
 
LEMA ndo rais wa arusha ccm waendelee kufanya manunuzi ya wapinzani
 
Viwanda havihitaji siasa za majitaka za upinzani za kupinga kila kitu.
Wakipinga kwa hoja wanabomoa ukuta wa kiwanda au wanavunja hatimiliki ya viwanda???

Kwanza hawapingi acha kubeba mavi kichwan angali una matko wapinzani wanashauri tu.
 
Kuna kitu kikubwa sana ambacho akili iliyoshikiliwa na mange haiwezi kuona. Namna RC Gambo alivyomtambulisha ndicho kilicholeta furaha kubwa pale kuliko MTU aliyetambulishwa. Nani asiyefahamu mvutano uliopo kati ya hawa wawili???!!! Lakini unaposema rafiki yangu inaleta bashasha na hasa zaidi ni kwa maeneo ya tukio lenyewe. Huo ndio ukweli.
 
Hakuna ufalme, tatizo mnafikiri kila kelele ni shangwe za kumshangilia Lema..Badilikeni kuweni na fikira zingine Lema kaifdanyia nn Arusha mpka ashangiliwe zaidi amekuwa mhudhuriaji mzuri wa kesi mahakamani na kulalamika tu. Gambo anapiga kazi sio huyo mfuga rasta wa zamani
 
TANZANIA UFALME ULIONDOLEWA NA NYERERE WALA HAKUNA KIONGOZI MALAIKA HAYO NI MANENO YA WANA CHADEMA WIVU TU KAWASHINDA UCHAGUZI WANATAFUTA KILA NJIA ASIONGOZE VIZURI LAKINI KISHAWAJUA .
Unakanusha maneno yaliyosemwa na boss wako?? Tena hadharani?? au ulikuwa usingizini wakati anayatamka??
 
Hakuna ufalme, tatizo mnafikiri kila kelele ni shangwe za kumshangilia Lema..Badilikeni kuweni na fikira zingine Lema kaifdanyia nn Arusha mpka ashangiliwe zaidi amekuwa mhudhuriaji mzuri wa kesi mahakamani na kulalamika tu. Gambo anapiga kazi sio huyo mfuga rasta wa zamani
Tatizo la watu kama wewe ni ujinga, hujui Lema kaifanyia nini Arusha?? Basi wewe utakuwa msukuma tu.
 
Kuna kitu kikubwa sana ambacho akili iliyoshikiliwa na mange haiwezi kuona. Namna RC Gambo alivyomtambulisha ndicho kilicholeta furaha kubwa pale kuliko MTU aliyetambulishwa. Nani asiyefahamu mvutano uliopo kati ya hawa wawili???!!! Lakini unaposema rafiki yangu inaleta bashasha na hasa zaidi ni kwa maeneo ya tukio lenyewe. Huo ndio ukweli.
Hustahili hata ku-comment jF kwa sababu ume-join juzi, tena umetumwa na lumumba ili muweke pumba zenu hapa jF, nyambafu
 
Sikuona hata mantiki ya kanisa kumpa gambo nafasi ya kutambulisha, kazi hii angefanya mtu wa kanisa.
Gambo ni mtu aliye ni visasi, husda, uongo, mtoa rushwa, hivyo hakustahili kupanda madhabahuni.
 
Back
Top Bottom