Lema athibitishwa kuwa mfalme wa Arusha leo mbele ya Rais Magufuli hadi Gambo kaona aibu kumtambulisha

Bila ushahidi ni kazi bure, ingawa mi mwenyewe niliskia shangwe kuuubwa likipigwa kwa ajili yake!
 
Kuna vitu huwa mnavi create ambavyo ni vya kijinga na wala havijengi. Hiki ulichokiandika ni ujinga. Kwa hiyo katika tukio zima la kusimikwa kwa askofu lililoendeshwa siku nzima hicho ndicho ulichoona cha maana kukiandika. Amani iliyohubiriwa pale wewe umeona ni kitu kidogo.
Kwan amani ya tanzania kuna aliyeileta?? au kuna anayeilinda??
Aman inayosemwa majukwaan ni maneno tu ya viongozi ila amani kwa tz ni kitu automatic kipo kilikuwepo kitakuwepo msitutishe nyie
 
Kuna vitu huwa mnavi create ambavyo ni vya kijinga na wala havijengi. Hiki ulichokiandika ni ujinga. Kwa hiyo katika tukio zima la kusimikwa kwa askofu lililoendeshwa siku nzima hicho ndicho ulichoona cha maana kukiandika. Amani iliyohubiriwa pale wewe umeona ni kitu kidogo.
Hivi ameshika mikono yako au ndio anakununulia bando mpaka ushindwe na wewe kuanzisha uzi wa hiyo Amani iliyohubiriwa?
Kesho mualikeni tena, ili muijuie Arusha vizuri.
 
Kuna vitu huwa mnavi create ambavyo ni vya kijinga na wala havijengi. Hiki ulichokiandika ni ujinga. Kwa hiyo katika tukio zima la kusimikwa kwa askofu lililoendeshwa siku nzima hicho ndicho ulichoona cha maana kukiandika. Amani iliyohubiriwa pale wewe umeona ni kitu kidogo.
Andika wewe unavyoona ni vizuri vilivyotokeaz mwenzako yeye kaandika hicho, wewe umeshuhudia nini? Acha kulazimisha viandikwe unavyotaka.
 
Similar Discussions

13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom