Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!


Huyo mama wa kati kati ni mteja wa FINCA, kumbe alikopa kwa ajili ya kuendeshea kesi, na kesi ishamshida, sijui atapata wapi marejesho. loh. anatia huruma jamani. magaba inabiidi mumchangie marejesho mwenzenu.
 
Hongereni makamanda.... Sote tukosambamba na peopleeeeeees
 



Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Mapambano sasa yaelekezwe vijijini kwa nguvu zote. wana CDM - Tabora bado kumelala sana... Hebu utupieni macho mkoa huo... karibuni sana Tabora tukomboe wananchi... Jimbo kama la Urambo magharibi liko wazi kabisa... CDM tuko wapi??
 
Mkuu usipoteze muda kujadiri wagonjwa. na washukuru Global Fund kwa kutoa dawa bure....

sidhani ulikusudia andika hii kitu hapa ukimaanisha inastahili kuwa mchango wako kwa nilichoandika.Seeing is believing, soon utaona mziki wa Lema.
 
Nimekuwa nafaraja sana kwani haki ya mtu haipotei kwa mungu yote yanawezekana. MUNGU IBARIKI TANZANIA,MUNGU IBARIKI CHADEMA NA WANACHAMA WAKE.
 
Ni zawadi ya NOELI na mwaka mpya kwa wasaka ukombozi wa taifa hili (WANANCHI) na pigo takatifu kwa mafisadi, wezi wa rasilimali za taifa hili na wasaliti wa ukombozi

Msiogope; kwa kuwa mimi ninawaletea habari njema ya furaha kuu ITAKAYOKUWA KWA WATU WOTE...

Atukuzwe Mungu juu mbinguni na duniani iwe amani kwa WATU ALIOWARIDHIA.
 

Mkuu, Hawa ndiyo wanasiasa wetu. Wanaongea tu bila hata kupima kile wanachokiongea kwa sababu katika mawazo yao wanafahamu hata wasikilizaji nao ni kama wao.

Ukizifuatilia hotuba nyingi za 'wanasiasa' wetu, unaweza ukapatwa na mshangao. Kwa Tanzania, ukiwa na uwezo wa kupiga domo basi unakuwa 'mwanasiasa' maarufu. Objective reasoning nchini kwa wanasiasa na wananchi wengi zinaonekana kama boring politics.

Jaribu kuangalia, wanasiasa ambao mara nyingi huongea 'pumba' ndiyo maarufu katika vyama vyao. It tells something!!

 
Voice for the voiceless is back in the parliament, long live lema and so much love.
 
hogera sana G. Lema!walipokunyang'anya ubunge wako nilihc kupasuka coz I knew it was colluded and tempered by the bunches of magogoni!but GOD is still answering prayers, he has answered mine,GLORY be unto GOD!Alunta continua.
 
Hivi godbless lema kurejeshewa ubunge ni kuonyesha ukomavu wa kisiasa kupitia demokrasia au ni mbinu ya ccm kujisafishia jina
 
Non sense thread! Elewa kuwa humu ndani kuna watu wana IQ tofauti tofauti. Fikiria ya msingi kuandika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…