Lema: Arusha hakuna CCM

Wiki iliyopita nilipitia Arusha nikitokea Nrb nakukaa hapo Sikh 3. Nikakugundua kumbe Arusha hakuna CCM wala Chadema. Kuna ChaLema tu.
 
Nitashangaa sana kwa watu wa Arusha wastaarabu kuchagua tena hiki kinyesi.
 


Godi CCM ipo kila mahali, kusema haipo unajaribu kupingana na ukweli. Hawa ndio washindani wako, Philimon Mollel, Deo Mtui, Victor Njau, Dk Harlod , Justin Nyari, Mustafa Panju(Bush back) Godi Mwalusamba . Hawa ni kwa uchache.
 

Eti ni bandiko la Mbunge hili! Kweli Bado tuna safari ndefu.
 

Hivi unafahamu Arusha kuna majimbo mangapi ya uchaguzi?

Unafahamu ya CCM ni mangapi na ya CHADEMA ni mangapi?
 
Lema anza kuwaaga wana Arusha mapema Mchungaji Mwakasege anakuja kulichukua jimbo la Arusha Mjini
 
Jimbo la Arusha Mjini linachukuliwa na mchungaji mwakasege kwa tiketi ya CCM.
 

Watalii wamepungua sana Arusha kwa ajili ya vurugu za chadema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…